PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kama umeburuzwa na vibaka wa siasa kuchangishwa pesa kitapeli ambayo ilitosha kabisa kununua nguo za watoto wako,

matapeli hao wa siasa watashindwa kukurubuni haki na uhuru wako wa kupiga kura kweli gentleman?

na ulivyo na mihemko, si wanaweza hata kukushakahola kama Makenzie alivyowashakahola waamini wake?🐒
Acha kutangatanga.

No reforms no election!
 
Kama hakuna mabadiliko, hakina uchaguzi. Hapo usichoelewa ni nini!? Kama wasimamizi wa uchaguzi uchwara wanaweza kukata majina ya wagombea wa upinzani ili wabakie wagombea wa ccm, hapo kuna uchaguzi!?

Maana yake mnalazimisha wagombea wa ccm wapite bila kupingwa. Yaani mwananchi ananyimwa haki yake ya kuchagua kiongozi amtakaye. Jiulize Majaliwa anakuwaje mbunge bila kupigiwa kura hata moja!? Hapo hakuna uchaguzi.

Kama polisi uchwara wa ccm wanaingiza maboksi yaliyokwisha pigwa kura vituoni , hapo ina maana hakuna uchaguzi halali uliofanyika.

Kwa hiyo bila mabadiliko yatakatoondoa huu ungese ungese wa ccm wa kiuba kura na faulo nyingine za kiwendawazimu wazimu, hapo Uchaguzi Hakuna. Ni Uchafuzi tu.
Gentleman,
kwahivyo hizo ndizo faida itakazopata chadema kwa kususia michakato ya kidemokrasia?🤣

Asanti kwa kumsadia akili kubwa kwa mihemko na ghadhabu 🤣
 
Acha kutangatanga.

No reforms no election!
halafu mbona umekwepa kuchangia kampeni ya tone tone kidigitali?

nani ni tatizo na ambae haaminiki miongoni mwa wahamasishaji na wasimamizi wa mfumo wa ukusanyaji pesa, mpaka wanachadema wasuse kuchangia?🤣

halafu kwanini chadema wengi wamepuuza wito wa Mwenyekiti wa no reform no elections?🐒
 
halafu mbona umekwepa kuchangia kampeni ya tone tone kidigitali?

nani ni tatizo na ambae haaminiki miongoni mwa wahamasishaji na wasimamizi wa mfumo wa ukusanyaji pesa, mpaka wanachadema wasuse kuchangia?🤣
No reforms no election. Nimo Tone tone ndiyo mpango mzima!
 
Gentleman,
kwahivyo hizo ndizo faida itakazopata chadema kwa kususia michakato ya kidemokrasia?🤣

Asanti kwa kumsadia akili kubwa kwa mihemko na ghadhabu 🤣
Wewe kweli mpumbavu "michakato ya kidemokrasia" ni kukata majina ya wapinzani!? Hiyo ni demokrasia gani!? Au ndio kama ile ya mwenyekiti kujiapisha kuwa mgombea urais kwa ccm huku wajumbe wakiwa hawajapewa agenda!? Hiyo ndio demokrasia!?
 
usipotimiza sifa, vigezo na mashati ya kua mgombea uongozi kwa mujibu wa Sheria na katiba ya nchi ni Lazima ukatwe na kuenguliwa kwenye mchachakato wa uchaguzi,

hilo ni Lazima ulifahamu vizuri, na uende ukamueleze na Mwenyekiti wa chama chako bila kificho.

Kamwe hatuwezi kuikiuka katiba tukufu ya waTanzania, kwa kuwaruhusu wasio na sifa za uongozi kuinajisi katiba hiyo.

hata hivyo,
hauwezi kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya kupiga kura, halafu matokeo ya uchaguzi yakitangazwa, uanze kupiga mayowe ati nimeibiwa kura n.k....

umeelewa gentleman?
usisahau kumwambia Mwenyekiti wako 🐒
 
Kama chadema hawataki kushiriki si ndiyo vizuri ccm itapita bila kupingwa!!? Nini shida kwa ccm ktk hili?
Ajabu kabisa.

Halafu hakuna Sheria inayolazimisha chama kilichosajiliwa kushiriki uchaguzi.

CHADEMA itaendelea kufanya siasa bila ya kushiriki chaguzi mpaka hapo mabadiliko yafanyike.

No reforms No Election!
 
calm down gentleman,

elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,

usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒

Hakuna mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kushiriki ushetani wa CCM.

Kosa unafanya mara moja. Ukigundua kuwa ulifanya kosa halafu ukaendelea kufanya kosa, unakuwa mpu.mbavu.

Vyama vya upinzani kushiriki kwenye chaguzi ambazo zinasimamiwa sheria na tume isiyo huru, yalikuwa ni makosa makubwa. Je, tuendelee kufanya makosa?

Vyama vya upinzani havitafuti upendeleo, vinataka tume huru na sheria zinazolinda mchakato huru wa uchaguzi, CCM kama huwa inashinda kwa haki, kuna shida gani kwake kukubali kuwa na tume huru? Kwa nini wang'ang'anie uchaguzi usimamiwe na tume ya mwenyekiti wa CCM?

NO REFORM NO ELECTION.

Hakuna mwendawazimu wa kushiriki uchaguzi wa maagizo.
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Watajua hawajui
 
Huyo Jaji msajili wa vyama ni mvura bangi kitambo tu kama alivyokuwa mwenda zake.
 
Nadhani uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 ulikuwa ni litmus paper ndiyo ulioleta shida hii ya No Reform No election. ilihitaji kauli kali ya Rais na Serikali pamoja na utashi wa kisiasa kubadilisha hali angalau hata by 55% tu watendaji watende haki wakati wa uchaguzi hata kwa sheria na kanuni hizi za uchaguzi. issue hapa ni dhamira njema.HATUJACHELEWA.
 
Hakuna mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kushiriki ushetani wa CCM.

Kosa unafanya mara moja. Ukigundua kuwa ulifanya kosa halafu ukaendelea kufanya kosa, unakuwa mpu.mbavu.

Vyama vya upinzani kushiriki kwenye chaguzi ambazo zinasimamiwa sheria na tume isiyo huru, yalikuwa ni makosa makubwa. Je, tuendelee kufanya makosa?

Vyama vya upinzani havitafuti upendeleo, vinataka tume huru na sheria zinazolinda mchakato huru wa uchaguzi, CCM kama huwa inashinda kwa haki, kuna shida gani kwake kukubali kuwa na tume huru? Kwa nini wang'ang'anie uchaguzi usimamiwe na tume ya mwenyekiti wa CCM?

NO REFORM NO ELECTION.

Hakuna mwendawazimu wa kushiriki uchaguzi wa maagizo.
sasa gentleman akili kubwa,

hebu elezea faida mbili tu itakazopata chadema baada ya kujitenga na michakato ya kidemokrasi, hali ya kua vyama vya siasa vya kidemokrasi zaidi ya 20 vinashiriki kikamilifu michakato hiyo ya kikatiba ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa kidemokrasi?🐒
 
Wewe kweli mpumbavu "michakato ya kidemokrasia" ni kukata majina ya wapinzani!? Hiyo ni demokrasia gani!? Au ndio kama ile ya mwenyekiti kujiapisha kuwa mgombea urais kwa ccm huku wajumbe wakiwa hawajapewa agenda!? Hiyo ndio demokrasia!?
Mkuu muda wa kuwajibu watu wenye mizaha kama huyu unaupata wapi?
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Mpaka sasa hakunaga uchaguzi. So the slogan is Straight forwad understandable.
 
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.

Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
 
Back
Top Bottom