Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hofu ya CCM ni kuwa hawana chama cha kuweza kushindana na CHADEMA. Chama chao ni kama Simba wa karatasi.Huyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.
Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
Usichokijua.Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Wakae kwa kutulia. No reforms no election.Usichokijua.
Ccm inateswa sana na hii kauli mbiu ya Chadema.
Watu hawalali wanajadili kila wakati.
Msione nje wanainanga hii kauli lkn inawatesa mnoo
hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Basi sasa na wewe Allen naona unazidi kukandamiza.unatuumiza. achaneni na huo msemo bwana aaargh. Mnataka kutunyima raha. Huu ndo wakati wetu wa kupiga pesa.Wakae kwa kutulia. No reforms no election.
No Reform No Election!hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?
eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
calm down gentleman,No Reform No Election!
Yaani anaweza kufanya hivyo, lakini hakuna namna anaweza kuzuia mabadiliko ya nyakati.Huyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.
Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
Wassira ndiye anayejua faida ya No reforms No Election na ndiyo maana kachachawa.calm down gentleman,
elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,
usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒
Si kila mtu ataendelea kuwa kondoo wa kuburuzwa na chama kilichopitwa na wakati. Hakuna kitu muhimu cha kuheshimu kama mahitaji ya nyakati. Huu si wakati wa ccm kuendelea kuwa madarakani.hivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?
eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
Kama hakuna mabadiliko, hakina uchaguzi. Hapo usichoelewa ni nini!? Kama wasimamizi wa uchaguzi uchwara wanaweza kukata majina ya wagombea wa upinzani ili wabakie wagombea wa ccm, hapo kuna uchaguzi!?calm down gentleman,
elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,
usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒
Msajili achunge sana watanzania sio wajinga , leo kipo chama cha ukombozi wa Taifa hili kwa mara ya pili ,that's chama cha awali cha ukombozi(ccm ) kimechanganyikiwa chini Ya makam Mwenyekiti wake ( mzee Wasira) na wazee wengine kama mzee Lukuvi.Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Kwa hii katiba chadema hawawezi shinda uchaguzi au hizi kanuni. Ni mama mitano tena. Wasipoteze muda kushirikihivi kuna manufaa gani chadema inapata kwa kujitenga au kususia michakato ya kidemokrasi tangu 2014 iliposusa bunge la katiba?
eti gentleman akili kubwa, unaweza kuelezea wadau wa JF kwa kifup na bila mihemko?🐒
Hakuna cha mitano tena hapa za kurazimisha ,bali tu sanduku huru ndo liamue hata ikiwa 100 tena, Taifa ni kubwa kuliko mtu wenu wa mitano tenaKwa hii katiba chadema hawawezi shinda uchaguzi au hizi kanuni. Ni mama mitano tena. Wasipoteze muda kushiriki
Yaliyotokea mwaka 2019, 2020 na 2024 yamewagutua CHADEMA kuwa uhuni wa CCM kwenye chaguzi Sasa umekomaa kiasi kwamba umekuwa ni uhalifu uliohalalishwa kimfumo.Kwa hii katiba chadema hawawezi shinda uchaguzi au hizi kanuni. Ni mama mitano tena. Wasipoteze muda kushiriki
Daaah....hapo mnakaba sana. Sisi tunataka mshiriki hata kidogo mhalalishe hili jambo.Yaliyotokea mwaka 2019, 2020 na 2024 yamewagutua CHADEMA kuwa uhuni wa CCM kwenye chaguzi Sasa umekomaa kiasi kwamba umekuwa ni uhalifu uliohalalishwa kimfumo.
Sasa hivi CCM hawaibi tena kura, bali wanauiba uchaguzi mzima. Hivyo No reforms No election.
CHADEMA hawataki kushiriki uchaguzi... CCM wameanza kuchanganyikiwa, unadhani wana udhubutu wa kufuta chamaHuyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.
Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
kama umeburuzwa na vibaka wa siasa kuchangishwa pesa kitapeli ambayo ilitosha kabisa kununua nguo za watoto wako,Si kila mtu ataendelea kuwa kondoo wa kuburuzwa na chama kilichopitwa na wakati. Hakuna kitu muhimu cha kuheshimu kama mahitaji ya nyakati. Huu si wakati wa ccm kuendelea kuwa madarakani.