Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Acha kutangatanga.kama umeburuzwa na vibaka wa siasa kuchangishwa pesa kitapeli ambayo ilitosha kabisa kununua nguo za watoto wako,
matapeli hao wa siasa watashindwa kukurubuni haki na uhuru wako wa kupiga kura kweli gentleman?
na ulivyo na mihemko, si wanaweza hata kukushakahola kama Makenzie alivyowashakahola waamini wake?🐒
Gentleman,Kama hakuna mabadiliko, hakina uchaguzi. Hapo usichoelewa ni nini!? Kama wasimamizi wa uchaguzi uchwara wanaweza kukata majina ya wagombea wa upinzani ili wabakie wagombea wa ccm, hapo kuna uchaguzi!?
Maana yake mnalazimisha wagombea wa ccm wapite bila kupingwa. Yaani mwananchi ananyimwa haki yake ya kuchagua kiongozi amtakaye. Jiulize Majaliwa anakuwaje mbunge bila kupigiwa kura hata moja!? Hapo hakuna uchaguzi.
Kama polisi uchwara wa ccm wanaingiza maboksi yaliyokwisha pigwa kura vituoni , hapo ina maana hakuna uchaguzi halali uliofanyika.
Kwa hiyo bila mabadiliko yatakatoondoa huu ungese ungese wa ccm wa kiuba kura na faulo nyingine za kiwendawazimu wazimu, hapo Uchaguzi Hakuna. Ni Uchafuzi tu.
halafu mbona umekwepa kuchangia kampeni ya tone tone kidigitali?Acha kutangatanga.
No reforms no election!
No reforms no election. Nimo Tone tone ndiyo mpango mzima!halafu mbona umekwepa kuchangia kampeni ya tone tone kidigitali?
nani ni tatizo na ambae haaminiki miongoni mwa wahamasishaji na wasimamizi wa mfumo wa ukusanyaji pesa, mpaka wanachadema wasuse kuchangia?🤣
Wewe kweli mpumbavu "michakato ya kidemokrasia" ni kukata majina ya wapinzani!? Hiyo ni demokrasia gani!? Au ndio kama ile ya mwenyekiti kujiapisha kuwa mgombea urais kwa ccm huku wajumbe wakiwa hawajapewa agenda!? Hiyo ndio demokrasia!?Gentleman,
kwahivyo hizo ndizo faida itakazopata chadema kwa kususia michakato ya kidemokrasia?🤣
Asanti kwa kumsadia akili kubwa kwa mihemko na ghadhabu 🤣
Gentleman,Wewe kweli mpumbavu "michakato ya kidemokrasia" ni kukata majina ya wapinzani!? Hiyo ni demokrasia gani!? Au ndio kama ile ya mwenyekiti kujiapisha kuwa mgombea urais kwa ccm huku wajumbe wakiwa hawajapewa agenda!? Hiyo ndio demokrasia!?
Kama chadema hawataki kushiriki si ndiyo vizuri ccm itapita bila kupingwa!!? Nini shida kwa ccm ktk hili?CHADEMA hawataki kushiriki uchaguzi... CCM wameanza kuchanganyikiwa, unadhani wana udhubutu wa kufuta chama
Ajabu kabisa.Kama chadema hawataki kushiriki si ndiyo vizuri ccm itapita bila kupingwa!!? Nini shida kwa ccm ktk hili?
calm down gentleman,
elezea tu faida ya hiyo kitu kwa faida ya wadau, na huenda wakaungana nawe,
usiogope na usiwe na ghadhabu, just mention faida mbili tu na itapendeza zaid 🐒
Watajua hawajuiWakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Huyo Jaji msajili wa vyama ni mvura bangi kitambo tu kama alivyokuwa mwenda zake.Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
sasa gentleman akili kubwa,Hakuna mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kushiriki ushetani wa CCM.
Kosa unafanya mara moja. Ukigundua kuwa ulifanya kosa halafu ukaendelea kufanya kosa, unakuwa mpu.mbavu.
Vyama vya upinzani kushiriki kwenye chaguzi ambazo zinasimamiwa sheria na tume isiyo huru, yalikuwa ni makosa makubwa. Je, tuendelee kufanya makosa?
Vyama vya upinzani havitafuti upendeleo, vinataka tume huru na sheria zinazolinda mchakato huru wa uchaguzi, CCM kama huwa inashinda kwa haki, kuna shida gani kwake kukubali kuwa na tume huru? Kwa nini wang'ang'anie uchaguzi usimamiwe na tume ya mwenyekiti wa CCM?
NO REFORM NO ELECTION.
Hakuna mwendawazimu wa kushiriki uchaguzi wa maagizo.
Mkuu muda wa kuwajibu watu wenye mizaha kama huyu unaupata wapi?Wewe kweli mpumbavu "michakato ya kidemokrasia" ni kukata majina ya wapinzani!? Hiyo ni demokrasia gani!? Au ndio kama ile ya mwenyekiti kujiapisha kuwa mgombea urais kwa ccm huku wajumbe wakiwa hawajapewa agenda!? Hiyo ndio demokrasia!?
Uwezo wetu wa kufikiria ulitaka uweje?NDIO HAPO TULIPOFIKIA KATIKA UWEZO WETU WA KUFIKILIA
Akifuta chama kikuu cha upinzani anakaribisha makundi ya kigaidi.Huyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.
Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
Mpaka sasa hakunaga uchaguzi. So the slogan is Straight forwad understandable.Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.
Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ni kitu gani huyo msajili wa vyama vya siasa ambaye ni mwanasheria mwenye wadhifa wa ujaji asichokielewa?
Ngoja tuoneHuyu msajili anaweza kuyatumia vibaya madaraka yake na kuamua kuifutia usajili Chadema.
Nasema uwongo ndugu zangu? (in Jiwe's voice).
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMAWakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu.