Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwenye hatua ya kufuzu huwa kuna points ?Yaani wewe kwako wingi wa magoli ni takwimu nzuri kuliko wingi wa point?
Rage aliona mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hatua ya kufuzu huwa kuna points ?Yaani wewe kwako wingi wa magoli ni takwimu nzuri kuliko wingi wa point?
Rage aliona mbali sana
Unaweza kupata points bila magoli?Yaani wewe kwako wingi wa magoli ni takwimu nzuri kuliko wingi wa point?
Rage aliona mbali sana
Ukweli upi zaidi ya wivu.Hakuna yeyote anayeumia kwa timu kibonde ya Simba. Labda huu Uzi ni mchungu kwako Kwa kuwa unaongelea ukweli kuhusu timu yako
Wewe ni mbumbumbu, angalia hoja ya niliekuwa ninabishana nae kabla ya kuniquote..nyie ndio mnao dandia treni Kwa mbeleKwenye hatua ya kufuzu huwa kuna points ?
Wala kimataifa hamna mafanikio yoyote.. kama yapo hebu yataje hapa.. Upepo wa covid ndio uliwabeba. Kama ndani ya nchi hamna kombe lolote baada ya kufungwa na Yanga makombe yote mliokuwa nayo na kunyang'anywa, huko nje mnaweza kuleta kombe gani nyie timu mbovu? Je nanyie Huwa mnachukua bahasha za Yanga? Kwa maana nyie ndio timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa dunianiUkweli upi zaidi ya wivu.
Miaka yote Simba iliyofanya vizuri kimataifa iwe klabu bingwa au shirikisho mliibeza sana kwenye media zenu mlizozihonga ili wakate tamaa na ilitoboa,mwishoni aibu mliona nyie.
Hamna jipya,toboeni shirikisho mfikie level zetu ndio muanze kujifananisha na sisi walimu wenu wa mpira wa wakubwa.
Huko hakuna marefa dizaini ya Kina Kayoko mliozowea kuwahonga ili mpate unbeaten za mchongo,huko ni show show tu.
Karibuni kwenye show za wakubwa tuwafunde.
Wakuu salaam..
Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika.
Ukweli ni kuwa uwepo wa Simba cafcl ni bahati tu kutokana na njia nyepesi waliyopitia na kufika hapo makundi.
Niwatolee mfano tu timu za Chelsea na Liverpool zipo ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya mtoano ila kwa sasa ni timu mbovu sana na zisipoangalia zinaweza kuteremka daraja msimu huu.
Upande mwingine timu za Arsenal na Man U ambazo zipo Europa league baada ya kutolewa ligi ya mabingwa zikikiwasha vilivyo ambapo timu ya Arsenal unaweza kusema ndio klabu Bora kabisa duniani Kwa sasa kulingana na kabumbu safi linalooneshwa na Hawa washika bunduki wa London.
Ndugu zangu wa Simba mnatakiwa muukubali ukweli huu kuwa ninyi kwa sasa ni timu ya kawaida sana au tunaweza kuwaita timu dhaifu na kuendelea kuwepo kwenu huko cafcl sio kigezo cha ubora na mifano tayari nimeitoa..
Ukweli mchungu ni kuwa mwaka huu pia mnatoka bila kikombe chochote, na hata huko Cafcl msipokuwa makini mnaweza msipate points yoyote huko makundi kwa maana Mna timu iliyochoka sana na kwa usajili huu wa tia maji tia maji mnaoufanya taifa linaenda kupata aibu ya mwaka..
Daaaah,mnatia huruma mno,kwa hyo mwaka jana COVID tena ilikuwepo?Wala kimataifa hamna mafanikio yoyote.. kama yapo hebu yataje hapa.. Upepo wa covid ndio uliwabeba. Kama ndani ya nchi hamna kombe lolote baada ya kufungwa na Yanga makombe yote mliokuwa nayo na kunyang'anywa, huko nje mnaweza kuleta kombe gani nyie timu mbovu? Je nanyie Huwa mnachukua bahasha za Yanga? Kwa maana nyie ndio timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani
Wala kimataifa hamna mafanikio yoyote.. kama yapo hebu yataje hapa.. Upepo wa covid ndio uliwabeba. Kama ndani ya nchi hamna kombe lolote baada ya kufungwa na Yanga makombe yote mliokuwa nayo na kunyang'anywa, huko nje mnaweza kuleta kombe gani nyie timu mbovu? Je nanyie Huwa mnachukua bahasha za Yanga? Kwa maana nyie ndio timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani
Yuko juu ya ule mwiko wao wa daima mbele nyumaUnaumia moyo na roho kuhusu Simba ukiwa juu ya mti gani?
Sasa unasemaje ndio timu iliyoruhusu goli chache?10 yanga nayo imeruhusu 10...umeridhika mtani[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Zile Simba ilizomfunga Yanga lazima zijirudieZile hamsa hamsa ni lazima zitajirudia mwaka huu.
Atatufaa sana kipindi kijacho tutakapokuwa na uhaba wa mvuaUnamfahamu Sawanogo wewe? Akianza kukata umeme uwanjani, nchi nzima inakuwa giza.
Ili kufupisha maelezo, ungeandika tu kwamba timu zinazoingia hatua ya makundi ya CAF Champions League sio bora, bali ni mbovuImekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika.
Waambie ... Takwimu zinazingumza. Ushindi wa 100% nyumbani na ugenini rounds za awani ni level ya akina Espirance, Mamelodi, Al Ahli, nkSimba inafunga magoli mengi hata huko CAF CL imefunga magoli mengi na imeruhusu magoli machache kufuzu wakiwa na ushindi wa 100%
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app