Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kaupandia mwiko?๐๐๐๐Yuko juu ya ule mwiko wao wa daima mbele nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaupandia mwiko?๐๐๐๐Yuko juu ya ule mwiko wao wa daima mbele nyuma
levo zipi umefika wewe kwani kuna tuzo ya kufika robo au nisu fainaliUkweli upi zaidi ya wivu.
Miaka yote Simba iliyofanya vizuri kimataifa iwe klabu bingwa au shirikisho mliibeza sana kwenye media zenu mlizozihonga ili wakate tamaa na ilitoboa,mwishoni aibu mliona nyie.
Hamna jipya,toboeni shirikisho mfikie level zetu ndio muanze kujifananisha na sisi walimu wenu wa mpira wa wakubwa.
Huko hakuna marefa dizaini ya Kina Kayoko mliozowea kuwahonga ili mpate unbeaten za mchongo,huko ni show show tu.
Karibuni kwenye show za wakubwa tuwafunde.
Hizo hizo we mwisho kufika ni lini?levo zipi umefika wewe kwani kuna tuzo ya kufika robo au nisu fainali
Mmepata nni kufika uko tujifunzeHizo hizo we mwisho kufika ni lini?
Uzoefu,kupata friends match na wakubwa wenzetu kama Sevilla,CSKA Moscow,kutokuwa underdog tena tunapopangwa kwenye michuano yoyote ile tunaheshimika kwa kuwa historia hiyo usioitaka wewe ndio inayotubeba.Mmepata nni kufika uko tujifunze
Kwa hiyo unataka utuaminishe YANGA ni bora kuliko SIMBA kweli UNAMBWATOWakuu salaam..
Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika.
Ukweli ni kuwa uwepo wa Simba cafcl ni bahati tu kutokana na njia nyepesi waliyopitia na kufika hapo makundi.
Niwatolee mfano tu timu za Chelsea na Liverpool zipo ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya mtoano ila kwa sasa ni timu mbovu sana na zisipoangalia zinaweza kuteremka daraja msimu huu.
Upande mwingine timu za Arsenal na Man U ambazo zipo Europa league baada ya kutolewa ligi ya mabingwa zikikiwasha vilivyo ambapo timu ya Arsenal unaweza kusema ndio klabu Bora kabisa duniani Kwa sasa kulingana na kabumbu safi linalooneshwa na Hawa washika bunduki wa London.
Ndugu zangu wa Simba mnatakiwa muukubali ukweli huu kuwa ninyi kwa sasa ni timu ya kawaida sana au tunaweza kuwaita timu dhaifu na kuendelea kuwepo kwenu huko cafcl sio kigezo cha ubora na mifano tayari nimeitoa..
Ukweli mchungu ni kuwa mwaka huu pia mnatoka bila kikombe chochote, na hata huko Cafcl msipokuwa makini mnaweza msipate points yoyote huko makundi kwa maana Mna timu iliyochoka sana na kwa usajili huu wa tia maji tia maji mnaoufanya taifa linaenda kupata aibu ya mwaka..
Ulikula 5-0 na mnyama umesahauZile hamsa hamsa ni lazima zitajirudia mwaka huu.
Kwa nini kujielezea Bila kuulizwa, kuwa mwafrika tu tayari ni uchawi....Wakuu salaam..
Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika.
Ukweli ni kuwa uwepo wa Simba cafcl ni bahati tu kutokana na njia nyepesi waliyopitia na kufika hapo makundi.
Niwatolee mfano tu timu za Chelsea na Liverpool zipo ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya mtoano ila kwa sasa ni timu mbovu sana na zisipoangalia zinaweza kuteremka daraja msimu huu.
Upande mwingine timu za Arsenal na Man U ambazo zipo Europa league baada ya kutolewa ligi ya mabingwa zikikiwasha vilivyo ambapo timu ya Arsenal unaweza kusema ndio klabu Bora kabisa duniani Kwa sasa kulingana na kabumbu safi linalooneshwa na Hawa washika bunduki wa London.
Ndugu zangu wa Simba mnatakiwa muukubali ukweli huu kuwa ninyi kwa sasa ni timu ya kawaida sana au tunaweza kuwaita timu dhaifu na kuendelea kuwepo kwenu huko cafcl sio kigezo cha ubora na mifano tayari nimeitoa..
Ukweli mchungu ni kuwa mwaka huu pia mnatoka bila kikombe chochote, na hata huko Cafcl msipokuwa makini mnaweza msipate points yoyote huko makundi kwa maana Mna timu iliyochoka sana na kwa usajili huu wa tia maji tia maji mnaoufanya taifa linaenda kupata aibu ya mwaka..
Yaani wewe ni tahira,ndala kupita kwa zalani then al hilal ndio njia ngumu!! Kweli Luc hakukosea kuwa mnabweka ka umbwa na nyani
Yaani Wewe ni kilaza. Kwa hiyo hujui kama kufika robo au nusu kuna tuzo? Kwako Wewe tuzo lazima iwe kombe? Hakika wewe ni utopolo .levo zipi umefika wewe kwani kuna tuzo ya kufika robo au nisu fainali
Yanga ndio timu dhaifu zaidi, kinachofanya muongoze ligi sio uwezo ni bahasha mnazo tembeza kwa marefa, sababu haiwezekani mtu ashike nje ya box alafu refa aweke penati na vichwa box mnashangilia. Pumbav..Yaani wewe kwako wingi wa magoli ni takwimu nzuri kuliko wingi wa point?
Rage aliona mbali sana
Ukiwa kama kiazi mla mihogo inabidi uelekezwe Uchura wakoSio kila uzi uje kukomenti
Umenzisha uzi, afu unakasirikia comments reply za Wadau vp we kiaziUkiona umezidiwa point hata Moja tu basi tambua vigezi vingine vyote havina mashiko na ni kazi Bure.. Kwaio kuongelea magoli mengi ni kazi Bure.
Yaani mtu akikuzidi point 1 wewe hata umzidi magoli 10,000,000 inakuwa kazi Bure tu umeelewa we mbumbumbu