Zipo kazi utakuta ni Specific kwa WordPress au Blogger ambazo huitaji ku code. Japo kama ni templates itabidi utumie za kununua ambazo hata ukitumia blog inaonekana ni pro.( ila huandiki kwa profile yako kuwa unatumia templates)Unaweza kutengeneza blog ukiwa na 0 knowledge ya programming?
I mean kutumia templates labda😀
Ngoja nifanye utafiti kuhusu hilo ili kama ni kula msuli wa coding kimtindo nianze.Zipo kazi utakuta ni Specific kwa WordPress au Blogger ambazo huitaji ku code. Japo kama ni templates itabidi utumie za kununua ambazo hata ukitumia blog inaonekana ni pro.( ila huandiki kwa profile yako kuwa unatumia templates)
La sivyo kazi zitaenda kwa wengine. Japo nashauri fanya kitu ambacho unahisi ume kimaster, maana competitors wako hawatakuwa vibaya pia.
Oh, naona mods wameziondoa kwa post nzima link zote 🤔
Vipi kuhusu blog ambayo inapost matangazo ya kazi, unaizunhumziaje hii hasa kwenye suala la kuingiza mtonyo.?
Shukrani mkuu...Itakulazimisha u traget TZ
Niche ya Business and Investment naona Kama ina potential na rahisi kuandika content
Habari mkuu,Naomba kujua kuna tools tunaweza kutumia kwa sisi ambao English sio lugha ya kwanza ili kufikia na kueleweka kwa nchi zenye English iliyonyooka?Zipo kazi utakuta ni Specific kwa WordPress au Blogger ambazo huitaji ku code. Japo kama ni templates itabidi utumie za kununua ambazo hata ukitumia blog inaonekana ni pro.( ila huandiki kwa profile yako kuwa unatumia templates)
La sivyo kazi zitaenda kwa wengine. Japo nashauri fanya kitu ambacho unahisi ume kimaster, maana competitors wako hawatakuwa vibaya pia.
Ndio unaweza,Habari mkuu,Naomba kujua kuna tools tunaweza kutumia kwa sisi ambao English sio lugha ya kwanza ili kufikia na kueleweka kwa nchi zenye English iliyonyooka?
Nime craete jana Blog ya kiingerezaSaawa, muda ukiruhusu ntaaleta.
Uko serious mkuu? 😁Nime craete jana Blog ya kiingerezaView attachment 2322661 na ku post naona nina View 2 unashauri Nini
Unaeza fungua blog Jumatatu, ukapata Adsense Ijumaa. Inadepend na topics unazogusia, keywords husika, setup workflow yako, idadi ya traffic unayopata na quality ya traffic yenyewe.Swali jingine, inabidi blog yako iwe na muda gani ndipo utume maombi ya google adsense? Na inachukua muda gani kupata verification ya google adsense?
WordPress ziko aina mbili, ipo WordPress.com na WordPress.org . Hio WordPress.com ni self-hosted so haina tofauti sana na Blogger though imeizidi, maana inayo library kubwa ya Plugins na Themes zinazoweza fanya blog yako ifanye mambo ambayo huwezi fanya kwenye Blogger.Kwanini wwanasema ukitaka kupiga pesa haraka ufungue blog ya WordPress tofauti yake na kufuliia Blooger ni Nini??
Kwenye hio scenario unaweza fanya site ya Kingereza, lakini ukaeka option ya kubadili lugha, let's say Kiswahili(Kwa WordPress zipo plugin za kununua zinatumia geo-location, ambapo ina detect nchi unayotoka nakukuomesha version ya post husika kwa lugha yako, kama ipo)Shukrani mkuu...
Lakini pia nina swali la nyongeza, hapo juu tumeambiwa kuwa ni rahisi kupata mtonyo kupitia google ads kama ukiandika content za kiingereza kuliko kiswahili. VIpi kama ukitengeneza blog ambayo itakuwa na chaguo la mtumiaji kupata content zile zile kwa lugha aipendayo, aidha kiswahili au kiingereza? Operations za google ads zitakuwaje katika scenario kama hiyo?
Mkuu, usituchoke😀Kwenye hio scenario unaweza fanya site ya Kingereza, lakini ukaeka option ya kubadili lugha, let's say Kiswahili(Kwa WordPress zipo plugin za kununua zinatumia geo-location, ambapo ina detect nchi unayotoka nakukuomesha version ya post husika kwa lugha yako, kama ipo)
Downside ya kufanya hio kitu ni kuwa traffic yako hata iwe nyingi kiasi gani , CPC itakua ndogo mno, hivyo utapata hela kidogo mno kwenye clicks zako.
Kwa kuwa traffic yako itakua haijachujwa, hivyo ni ngumu crawlers wa Google kudecide thamani ya Impressions utakazo pata.
Kuchoka hamna, mkuu. Point ya kuanzisha thread ilikua kushare maarifa kwenye topic husika.Ko maswali yakiwepo, uliza 😁Mkuu, usituchoke😀
Vipi nikifanya hivi, natengeneza site moja ya kiingereza ambayo naiombea Adsence, then natengeneza nyingine ya kiswahili ikiwa na mwonekano na content zile zile ila kwa lugha ya kiswahili. Then nafanya kuiunga kwenye ile ya kiingereza kwa kuweka ka button kenye link ya hiyo web ya kiswahili. Lengo ni maarifa yasiwapite pia waswahili wenzangu.
Je, bots wa google wanataamua vipi katika hiyo scenario.?