kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo mnatushauri,tutumie blog gani ili tuweze kulipiwa kwa sababu naambiwa blogger haiwezi ku connect Na Google Adsense especially ikiwa blog yako ni ya Kiswahili.Sasa hapo napata mashaka zaidi.Naombeni mnipe ujuzi zaidi
Sorry for the late reply,Kwa hyo mnatushauri,tutumie blog gani ili tuweze kulipiwa kwa sababu naambiwa blogger haiwezi ku connect Na Google Adsense especially ikiwa blog yako ni ya Kiswahili.Sasa hapo napata mashaka zaidi.Naombeni mnipe ujuzi zaidi
Na traffic iliyochunjwa ndio ipoje au ni vigezo gani vinatumika kuchuja traffic?Malipo ambayo unaweza tegemea toka Adsense hayako constant, factor nyingi zunadetermine thamani ya CPC ya blog, yako ikiwa Audience yako kubwa iko nchi gani, ni paid au ni organic, unaandika kuhusu topics gani, na avg. engagement time per post ikoje.
Unawezackua hata na traffic kubwavya hadi 105k Visits per day, na vado revenue yako ikawa ndogo mno kwa kuwa traffic yako haijachujwa
Traffic ambayo haijachujwa mfano wake, n wale wote wanao visit hii JamiiForums.Na traffic iliyochunjwa ndio ipoje au ni vigezo gani vinatumika kuchuja traffic?
Sawa Ndugu. Nimekuelewa. Usichoke kutupa ilimTraffic ambayo haijachujwa mfano wake, n wale wote wanao visit hii JamiiForums.
Ni Forum kubwa, na ina Sub-Forums nyingi. Wapo wanao kuja humu kwa ajili ya Biashara, wengine Siasa, wengine Umbea, etc. Yaani kila group ya baadhi ya watu wana sababu zao kwann wana access JF. Traffic ya design hio haijachujwa.
Kama unataka kupata the most out of your blog, jitahidi wote wanaokuja kwenye blog yako, wafuate kitu kimoja. Usiwachanganyie habari. Wakija kwa sababu wanataka uwafundishe kuimba. Let it be that.
Adsense wakija monetize hio blog yako, watakua wana target waimbaji tu, ivo gains zitakua kubwa. Kuliko kuweka matangazo yanayo lenga waimbaji akati pia unatembelewa na wapishi, na watu ambao wamechoka kuishi, au wenye changamoto kwenye mahusiano, etc.
So, kuchuja n unachuja mwenyewe, kwa kua specific na 'blog yako inayohusianana nini'