Nadhani kutakuwa Na control maana sio Mara ya kwanza manji kufanya hivyoWakubali pia kama kikitokea kitu chochote uwanjani kibaya au maafa ambayo hatuombei au hata vitu kuharibiwa uwanjani basi wawajibike pia maana kuachia uwanja bure ina maana hakuna control kila mtu ana haki ya kuingia si bure ila hatari ni kubwa kuliko wanavyofikiria.
Uzuri Yanga wanagombana na Yanga wenzao waliopo TFF. Hata hivyo bado mechi itaonyeshwa LIVE Azam TV, sina haja ya kwenda kuumizana TaifaHaHaHaaaaaa. TFF na rafiki yao AZAM walishapanga kurusha mpira laivu bila kuishirikisha Yanga. Sasa yanga nae kamwaga mboga. Ngoma inogile
Umelipiwa jua hivyo Yakhe! Mechi ikiisha inabidi umsubiri aliyekulipia.Nani katulipia yakhe? Tutakuja
Milango inafunguliwa SAA ngapi maana nilishapanga hata kiingilio kiwe vipi (najua kisingezidi laki)hii game lazima niione
Ungekuwa unajua wala usingeandika upuuzi huo,hizo ni hasira za mkizi,kwani mechi kurushwa live kuko palepale na gharama zote za mchezo lazima yanga azilipe kuna uwanja asilimia 15,zitoke mfukoni kwa manji kuna ulinzi,sasa hizo ni akili au matope!?unajiita wa kimataifa wakati una mawazo ya kimchangani!!kanuni hamsomi mnafuata anavyosema yule vuvuzela wenu!!akiwalisha tango poli mnameza tu!!hakuna kanuni ya caf inayosema eti muishirikishe timu husika kwenye maamuzi ya nani aonyeshe mechi husika.mlizoea kuwapeleka tff,sio caf.HaHaHaaaaaa. TFF na rafiki yao AZAM walishapanga kurusha mpira laivu bila kuishirikisha Yanga. Sasa yanga nae kamwaga mboga. Ngoma inogile
Kuna gharama za uwanja,,ulinzi na za mechi lazima yanga watazilipa tu kutoka mfukoni!HUU MCHEZO HAUHITJI PAPALA""Tff wamekosa mapato hapo!
hata wewe unaye kuja kuangalia ukitaka kulipwa utalipwa tu.Kuna gharama za uwanja,,ulinzi na za mechi lazima yanga watazilipa tu kutoka mfukoni!HUU MCHEZO HAUHITJI PAPALA""
Kesho nakula mazembe sihitaji kula mandazi.Milango itafunguliwa saa kumi na moja alfajiri. Wahi na maandazi ya kunywea chai asubuhi.
Huyu aliisha tangaza viingilio au alikuwa hajaamrishwa na bosi wake? Mbona imetamkwa baada ya kuona wameshindwa kusitisha urushaji wa mechi hiyo hai (live)? Wao wangewapa AMRI TANESCO kuzima umeme Dar yote ifikapo saa tisa alasiri mpaka saa moja tu ingetosha.KAZI tadani taidani
Wapendwa watanzania uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa nakuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu
Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio kila mtu ataingia buure na atakaekuuliza tkt piga mayowe vijana watakuja kuwasaidia
Timu ni ya watanzania wote wapo waliotamani kuiona Yanga lakini kwa sababu fulani wangeshindwa sasa tunawakaribisha wooote
Imetolewa na msemaji mkuu Yanga
Jerry C Muro
Huo uwanja ni wa Serikali hivo pana gharama zinazitumika katika mechi sasa hapo atalipa nani?Wakubali pia kama kikitokea kitu chochote uwanjani kibaya au maafa ambayo hatuombei au hata vitu kuharibiwa uwanjani basi wawajibike pia maana kuachia uwanja bure ina maana hakuna control kila mtu ana haki ya kuingia si bure ila hatari ni kubwa kuliko wanavyofikiria.
Vita! Mkuu imeishaonekana TFF ni sawa na mbwa kwa chatu.Usalama utakuwaje? Hii Vita ya yanga Na TFF sijui itaisha lini.!