Kuiona Yanga vs TP Mazembe bure, njooni kwa wingi

Kuiona Yanga vs TP Mazembe bure, njooni kwa wingi

Duh aiseeee wangeweka hata kiingilio cha buku
 
KAZI tadani taidani

Wapendwa watanzania, uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa na kuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu

Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio kila mtu ataingia buure na atakaekuuliza tiketi piga mayowe vijana watakuja kuwasaidia.

Timu ni ya watanzania wote, wapo waliotamani kuiona Yanga lakini kwa sababu fulani wangeshindwa sasa tunawakaribisha wooote.

Imetolewa na msemaji mkuu Yanga

Jerry C Muro
Vipers, Zanaco Uwanja ulifull lakin kichapo kky.....
 
Yanga wengi watahudhuria game ya Jumamosi ya Simba, ukweli ndiyo huo.
 
TAFADHALI HII POST N YA 2016 AIHUSIANI NA MECHI YA LEO MSIGNGAIKE NAYO TAFADHALI SOMA JUU KABLA YA KUJIBU KITU
 
Back
Top Bottom