Pana mechi zinazochezwa bila ya mashabiki na timu zao zinacheza vizuri mno. Fikra finyu tutaondokana nazo vipi?Mshaona ile bendi ya tp mazembe itawafunika bibaya, hata mseme mnawapa mashabiki fedha, kichapo kiko palepale
Milango itafunguliwa saa kumi na moja alfajiri. Wahi na maandazi ya kunywea chai asubuhi.
Wengine wamefunga...
Ungekuwa unajua wala usingeandika upuuzi huo,hizo ni hasira za mkizi,kwani mechi kurushwa live kuko palepale na gharama zote za mchezo lazima yanga azilipe kuna uwanja asilimia 15,zitoke mfukoni kwa manji kuna ulinzi,sasa hizo ni akili au matope!?unajiita wa kimataifa wakati una mawazo ya kimchangani!!kanuni hamsomi mnafuata anavyosema yule vuvuzela wenu!!akiwalisha tango poli mnameza tu!!hakuna kanuni ya caf inayosema eti muishirikishe timu husika kwenye maamuzi ya nani aonyeshe mechi husika.mlizoea kuwapeleka tff,sio caf.
Mapovu ya nini sasa? Pesa watoe yanga kuwaswhwa uwashwe wewe. Nenda kagalegale matopeni hukoUngekuwa unajua wala usingeandika upuuzi huo,hizo ni hasira za mkizi,kwani mechi kurushwa live kuko palepale na gharama zote za mchezo lazima yanga azilipe kuna uwanja asilimia 15,zitoke mfukoni kwa manji kuna ulinzi,sasa hizo ni akili au matope!?unajiita wa kimataifa wakati una mawazo ya kimchangani!!kanuni hamsomi mnafuata anavyosema yule vuvuzela wenu!!akiwalisha tango poli mnameza tu!!hakuna kanuni ya caf inayosema eti muishirikishe timu husika kwenye maamuzi ya nani aonyeshe mechi husika.mlizoea kuwapeleka tff,sio caf.
Yanga fc wanapesa au manji?bora mimi ni wamatopeni na nina akili za kimatopeni kuliko wewe mwenye mawazo ya kimataifa lakini akili za matopeni!!Mapovu ya nini sasa? Pesa watoe yanga kuwaswhwa uwashwe wewe. Nenda kagalegale matopeni huko
Na kwa akili kama hizi Muro huwa anapenda sana!!kama mngehudhuria ile semina ya caf wala msingesema haya,na ndio maana hata kule algeria ilibidi mkanunue jezi mpya dukani!!zile za kilimanjaro zilipokataliwa!wewe kasome kanuni za caf juu ya haki za matangazo,ndio utapata jibu!unadhani hiyo pesa mnayopata kwa maandalizi toka caf,ni zipi?mala muro ndio apange sehemu mashabiki wa mazembe wakae?tena afadhari kwenye vitu serious muwe mnamtumia Sanga kidogo ana busara,haendeshwi na mihemko kama ya huyo,pompoma!ila sio kosa lake kwani anatumika tu na mwenyewe amekubali na kuamua kuweka taaluma yake pembeni!!wakimataifa gani ambaye sheria za kimataifa hazijui?nyie fanyeni maandalizi ya kutosha uwanjani msianze kutafuta sababu,mlipewa vifaa vya maandalizi eti tff ndio wakavikomboe??!hadi gharama ya kuvikomboa ikafika milioni7!!lakini kwakuwa club yenyewe inaendeshwa kizamani,hakuna report ya mapato na matumizi!!powa tu mtu anaingia mfukoni analipa maisha yanaendelea!kweli ndala kwake ni chooni tuMbona umeandika kwa hasira. Kwani Manji ameomba msaada wa kulipa gharama za mchezo? Ni jukumu la serikali kuhakikisha usalama unapatikana no matter kwa hela au bure. Kwenye TV live broadcasting timu zote lazima zina haki, hakuna sheria ya TFF, CAF au
FIFA inayowanyima Yanga hela kutokana na matangazo ya hii mechi. Acha hasira wahi uwanja wa taifa, uzalendo kwanza.
Kwa mawazo haya pompoma,wenu atawaburuza kweli!!kwani ndio mnataka kuyasikia,eti yanga ni zaidi ya CAF!!ila nilichompendea kuna siku alisema" baniani mbaya kiatu chake dawa".hata wewe unaye kuja kuangalia ukitaka kulipwa utalipwa tu.
KAZI tadani taidani
Wapendwa watanzania uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa nakuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu
Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio kila mtu ataingia buure na atakaekuuliza tkt piga mayowe vijana watakuja kuwasaidia
Timu ni ya watanzania wote wapo waliotamani kuiona Yanga lakini kwa sababu fulani wangeshindwa sasa tunawakaribisha wooote
Imetolewa na msemaji mkuu Yanga
Jerry C Muro
Swala la kulinda mashabiki ni jukumu la serikali hasa ukizingatia ni mechi inayotambulika kimataifa,mlitaka Yanga wafanyeje labda?Waweke walinzi wao?
yanga wanahela wewe hata hao watazamaji wanaoingia bure wanao uwezo wa kuwalipa wote..chezea manji weweHuo uwanja ni wa Serikali hivo pana gharama zinazitumika katika mechi sasa hapo atalipa nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naelekea raifa kupanga foleni mapema kwa maana na hali hii ya uchumi wa sasa,naona dalili ya mafuriko
KAZI tadani taidani
Wapendwa watanzania, uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa na kuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu
Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio kila mtu ataingia buure na atakaekuuliza tiketi piga mayowe vijana watakuja kuwasaidia.
Timu ni ya watanzania wote, wapo waliotamani kuiona Yanga lakini kwa sababu fulani wangeshindwa sasa tunawakaribisha wooote.
Imetolewa na msemaji mkuu Yanga
Jerry C Muro
TFF inaonekana kwa yanga ni kama mtoto.Vita! Mkuu imeishaonekana TFF ni sawa na mbwa kwa chatu.