Kuishi kwingi kuona mengi: Soma kisa nilichokiona Kawe

Kuishi kwingi kuona mengi: Soma kisa nilichokiona Kawe

Hapo sikuungi mkono, nikupe kazi ufanye, Kuna article humuhumu forum ilishawah kuandikwa kuhusu nguvu za upako wa Mungu itafute. Kila mtu anazo nguvu na kama unazitaka acha dhambi uwe karibu na Mungu,nguvu za Mungu zitajidhihirisha na utajionea upako. Mimi nilikuwa hivyo, nilifikir na kuwaza inakuaje watu waanguke chini wakati wa maombi, nikawa nimebadirika nikaacha dhambi, nikawa na upako naombea watu mpaka wanatokwa na mapepo.Nikiongea na mtu mwenye mapepo, mapepo yanasema niondoke ninayaunguza.Watu Kweli wamefungwa na nguvu za giza nahisi mijini Kuna shida watu wenye MAJINI, matumiz ya nguvu za giza na UCHAWI upo mkubwa mno kuliko hata vijijini.Amini nakuambia maombi Yana nguvu mno.
 
Back
Top Bottom