"Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

Mkuu hayo ya wazungu ya kufa Kama kuku unayajua kwa kuwa wanaweka takwimu wazi Hapa kwetu corona ni sawa na kiongozi fulahi hivi.Jana nilikuwa kwenye mazishi ya rafiki yangu.Pamoja na kwamba alikuwa na kisukari,Ila ukweli ni kwamba kifo chake kimeharakishwa na corona.Marehemu alishikwa ghafla ijumaa na matatizo ya kupumua,kawekewa mtungi wa oxygen wa kwanza ukaisha,kawekewa wa pili,ulivyoisha tu na mauti ikamkuta.Kwa akili ya mwanaccm watakuambia jamaa kafa kwa kisukari lakini tangu lini kisukari kikaua kwa kupana mapafu?

Poleni mkuu. Waliotutoka kwa namna kama hizo ni wengi. Kwa ushahidi kabisa alisema: "akili za kuambiwa changanya na za kwako."
 
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa.

Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari.

Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na upotoshwaji wa wazi kwenye baadhi ya jitihada hizo za WHO.

Ushauri wao usipokubaliana na misimamo ya viongozi wetu, utasikia, "wanatumiwa na mabeberu hao". Ushauri ukiangukia tulipo, tunaukumbatia kwa chereko chereko, hata kama ni nje kabisa ya uhalisia (out of context).

Mifano ni mingi ila kwenye uzi huu, itoshe kuangazia kauli yao hii muhimu ya 'kwenye kuishi na Corona.'

Kwa tathmini za wazi na kwa jinsi maambukizi ya ugonjwa huu yalivyo, WHO walisema:

"ugonjwa huu si wa kuondoka leo au kesho." Kwamba, "itabidi tu kujifunza namna ya kuendelea kuishi nao hadi pale tiba au chanjo kamili itakapopatikana".

Kauli hii imekuwa ikinukuliwa hapa nchini nje ya uhalisia (out of context), kuwa WHO wamepata funzo toka kwa rais wetu mpendwa na kuwa eti sasa sisi tuko kwenye mstari wa mbele tayari kuishi na Corona.

Haiyumkiniki hata hizi chereko chereko na mayowe ya ushindi dhidi ya Corona chini ya bwana yule hapo jumapili ni kwa minajili hiyo.

Kauli ya WHO ni kauli sahihi ya kisayansi na iliyokamilika. Kauli ile haitokei hewani bali ina vigezo kamili vilivyo zingatiwa. Kiuhalisia nchi (yenye Corona) haianzi kuishi tu na Corona from nowhere. Kuna pa kuanzia (starting point) kabla ya kufikia kwenye hatua ya kuishi na ugonjwa huu hatari Ila katika hali ya usalama. Hii ikiwa, wakati hatua zingine zikisubiriwa.

Nchi zote tunazozisikia kuwa zinalegeza masharti yao ya udhibiti zilizo kuwa zimejiwekea, huko kulegeza hayo masharti, ndiyo katika kujipanga kuingia sasa salama kwenye awamu hii ya pili ya kuendelea na maisha kwa tahadhari wakati ugonjwa huu ukingalipo. Angalizo la msingi, "lakini ugonjwa ukiwa umedhibitiwa vilivyo kwanza."

Rwanda, Uganda, USA, UK, Australia, New Zealand, Namibia, Italy, Spain nk, ni mfano wa nchi zilizoko kwenye hatua hizo. Kenya wanapambana vilivyo ili nao angalau waweze kufika kwenye hatua hiyo.

Unaweza ishi na mnyama hatari aliyeko kwenye cage au mhalifu hatari aliyeko jela si anayezurura huru mitaani.

Brazil, Tanzania, Sudan kusini, Burundi, Congo nk, tungali na makundi ya simba, chui, fisi, mbwa mwitu, nk yakizurura mitaani mwetu.

Eti kuwa tunataka sasa kujiaminisha na kuwaachia watoto wetu wadogo kabisa wa chekechea wajiendee tu shule peke yao kwamba wanyama hao watawazoea tu muda unavyopita! Mbona itakuwa ni kujidanganya kwa wazi kuliko pitiliza mno?

Brazil na sisi kwa hali ya sasa kimsingi tofauti haiwezi kuwapo. Kiuhalisia maambukizi yangali bado yanaongezeka sana. Tunatofautiana kwa viwango tu na hilo kwa mwendo wetu huu ni suala la muda tu.

Angalia hapa hawa (Brazil). Wanaanza vipi kuishi na Corona katika hali hii waliyomo sasa?

Kilicho wafikisha hapo ni kama hiki hiki cha kwetu - kibri kilicho pitiliza cha kiongozi wao mkuu.

What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See
Nyakati 1 hour ago Gossip News

Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique approaches to Covid-19
17 May, 2020:

AS SOON AS the International Monetary Fund (IMF) released a COVID 19 loan of $1.5 billion to Kenya amid concerns of “embezzlement” of the funds, President Uhuru Kenyatta whose nation is the second highest in pandemic cases, announced to close border with Tanzania, amid COVID 19 thanksgiving prayers and a return to normalcy for schools and sports next week due to decreased cases of the pandemic in Tanzania.

“My President Kenyatta and WHO always need to climb a tree to see what the Tanzanian Scientist leader, John Magufuli seeson his chair (sitting down),” wrote a Kenyan blogger after Magufuli’s speech on status of the pandemic in Tanzania today [17 May, 2020].
With 830 cases and 50 COVID deaths, Kenya which locked down on WHO conditions, becomes the second most affected East African nation after DRC. Tanzania has thus far registered only 509 cases with 21 COVID deaths and did not lock down.

The Spectrum was Different for Tanzania

The three East African nations of Kenya, Uganda and Rwanda, which locked down and also went on a COVID 19 response borrowing spree, did not see on the same spectrum as Tanzania because the pandemic will hang on for a long time.
Uganda signed $540.2 million and Rwanda $223.65 million from the IMF. The Bretton Woods Institution has raised concerns on Kenya, demanding the country to be transparent in the spending of the “hunk.”

The civil society in Uganda also demanded transparency in the spending of COVID 19 loans to avoid overburdening the country’s taxpayers with corruption-fueled debts, The East African reported.

Instead of issuing new unbearable loans, the Tanzanian leader, Dr. Magufuli, had called on a consideration of restructuring debt repayment for relief. He was supported by a few African and European leaders as the wisest option in the face of a global health crisis.

What Magufuli Says WHO Confirms Days Later

On 22 April, 2020, Dr. Magufuli said spraying the streets and bus terminals will not kill Corona. At least 25 days later, WHO confirms that spraying disinfectants and other no-touch methods on streets is not effective to kill corona virus.
On 15th May, 2020, WHO issued the new Guidelines titled: Cleaning and disinfection of environmental surfaces in the context of COVID-19, Interim guidance.

On the other hand, the New York Mayor, Andrew Cuomo,confirmed that most of the people who contracted the virus, had stayed at home.
This revelation confirms a study done in the US which revealed that a person's immunity drops by 30% when locked down for a month.

Dr. Magufuli did not opt for lock down as demanded by WHOand its associates. Other countries blamed the Tanzanian leader for refusing to lock down to the extent of threatening to close their borders, unfortunately some did.
He also suspected the efficacy of COVID 19 test kits, reagents or staffing, days later, a US analyst Alex Jones, confirmed that the American CDC, WHO and Bill & Melinda Gates Foundation had issues, particularly in inflating results of Corona virus tests.

Magufuli Admits his Own Child Tested positive for COVID 19

The Tanzanian leader admitted that his own child was infested by COVID 19 and completely healed on lemon and ginger.

He further said, “this pandemic will go like others. He further said, "I did not lockdown because our landlocked neighbors will find it hard to esessential needs during the pandemic.”

Home / Gossip News / What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See

[5/18, 5:16 PM] Philbert: Tanzania borders eight countries of Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi and Mozambique. Tanzania is a food basket for most of her neighbors such as Kenya, Burundi, DRC and Rwanda, particularly for the staples, notably cereals.
Dr. Magufuli asked his country men and women to redouble their efforts in working hard in farms and in industries to produce and process more food crops as the impact of COVID 19 “lockdown” in countries which opted the impasse, cannot be evident now but will be felt in a couple of months.

Magufuli Calls for 3 Days of National “Thanksgiving”Prayers for COVID 19

“I trust God. Our God is faithful, He has answered our ardent prayers, we sincerely give thanks to the Lord God for listening to our humble prayers in time of distress and now we need to continue taking precaution,” President Magufuli said in anemotional speech at a Church Service on Sunday, 17 May, 2020.

He called on the Tanzanians to set aside three worship days of Friday, Saturday and Sunday for thanksgiving for what the Lord hath done by listening to their prayers and healed their land.

The pandemic cases continue to decrease and Magufuli became the only President in the world to sniff a rat on handling the testing process and having spent his previous years in labs, heexposed data cheating on COVID test results.

Conspiracy Revealed

In the USA, analysts like Alex Jones of InfoWars.com, confirms that President Donald Trump is finally awakened to the reality that COVID 19 test results are purely political and were inflated.

He claims on a recorded clip that the American CDC and WHO, controlling the American NIH coronavirus handling, were attempting to engage in economic warfare, to keep the United States lockdown through the Tuesday, November 3, 2020 elections.

He says Trump’s challengers, the Democrats, believe a bad economy will be instrumental in making Donald Trump lose this year’s elections.
By John Njoroge, Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui uliandikiwa au ndio ushafilisika kwa hoja mpuuzi.
View attachment 1455566

Unaelewa kitu kunaitwa typo mistake? Angalia hapo:

IMG_20200521_122049_054.jpg

Vinavyoandikwa humu siyo majibu ya UE.

Uliandika "ndugi" naamini ulimaanisha "ndugu."

Huwezi kuona kuwa badala ya "majina" ilikuwa typo mistake au Android issue kuwa ilisajili "majinga?"

Jiridhishe kuwa una elimu ya kutosha kutofautisha typo mistakes au Android issues.

Vinginevyo endelea kurukia treni kwa mbele kama inavyoonekana ilivyo hulka yako.
 
Unaelewa kitu kunaitwa typo mistake? Angalia hapo:

View attachment 1455577View attachment 1455577

Vinavyoandikwa humu siyo majibu ya UE.

Uliandika "ndugi" naamini ulimaanisha "ndugu."

Huwezi kuona kuwa badala ya "majina" ilikuwa typo mistake au Android issue kuwa ilisajili "majinga?"

Jiridhishe kuwa una elimu ya kutosha kutofautisha typo mistakes au Android issues.

Vinginevyo endelea kurukia treni kwa mbele kama inavyoonekana ilivyo hulka yako.
Even me ilikuwa typing error.😡
 
Even me ilikuwa typing error.😡

Kwa nini unaanza kumtusi mtu usiye mjua 'out of a typo mistake au improper Android correction issue?'

By the way nimerekebisha kwenye bandiko langu kuwa kama nilivyokuwa nimehitaji liwe.

Pasipo na kupepesa maneno wala macho, mkuu, kwa kweli: "mnajidhalilisha sana."

Badilikeni!
 
Mimi na simamia ninacho kiamini so si lazima wote tufanane.

Hata ww unajidhalilisha,sababu sioni point ktk unacho kiandika.
 
Haipo taabu na maoni ya mtu.

Lakini matusi and from nowhere? It doesn't concern you?

Si mbaya kujua pia, hata hivyo kuna watu huwa hatuwi carried kwenye matusi yenu hata yawe mazito kiasi gani.

Ni kwa sababu hiyo huwa tunapata muda wa kuwaza, kuchambua mambo na kuandika consistently.

Muda ni pesa.
 
Msemo wa Bill Gett unaenda kutimia, Kama umakini utakosa

Sent using Jamii Forums mobile app

Eeh Mola wetu tunakuomba ukasimame nasi katika kipindi hiki kigumu. Ukampe mja wako 'Raila Odinga' kale 'ka special touch', anaweza kumpata mkuu wetu kuisikia busara itokayo kwako ewe Mola wetu uliye hai.

Ni hayo tu, ewe Mola wetu utusikie sisi tulio wakosaji.
 
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa.

Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari.

Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na upotoshwaji wa wazi kwenye baadhi ya jitihada hizo za WHO.

Ushauri wao usipokubaliana na misimamo ya viongozi wetu, utasikia, "wanatumiwa na mabeberu hao". Ushauri ukiangukia tulipo, tunaukumbatia kwa chereko chereko, hata kama ni nje kabisa ya uhalisia (out of context).

Mifano ni mingi ila kwenye uzi huu, itoshe kuangazia kauli yao hii muhimu ya 'kwenye kuishi na Corona.'

Kwa tathmini za wazi na kwa jinsi maambukizi ya ugonjwa huu yalivyo, WHO walisema:

"ugonjwa huu si wa kuondoka leo au kesho." Kwamba, "itabidi tu kujifunza namna ya kuendelea kuishi nao hadi pale tiba au chanjo kamili itakapopatikana".

Kauli hii imekuwa ikinukuliwa hapa nchini nje ya uhalisia (out of context), kuwa WHO wamepata funzo toka kwa rais wetu mpendwa na kuwa eti sasa sisi tuko kwenye mstari wa mbele tayari kuishi na Corona.

Haiyumkiniki hata hizi chereko chereko na mayowe ya ushindi dhidi ya Corona chini ya bwana yule hapo jumapili ni kwa minajili hiyo.

Kauli ya WHO ni kauli sahihi ya kisayansi na iliyokamilika. Kauli ile haitokei hewani bali ina vigezo kamili vilivyo zingatiwa. Kiuhalisia nchi (yenye Corona) haianzi kuishi tu na Corona from nowhere. Kuna pa kuanzia (starting point) kabla ya kufikia kwenye hatua ya kuishi na ugonjwa huu hatari Ila katika hali ya usalama. Hii ikiwa, wakati hatua zingine zikisubiriwa.

Nchi zote tunazozisikia kuwa zinalegeza masharti yao ya udhibiti zilizo kuwa zimejiwekea, huko kulegeza hayo masharti, ndiyo katika kujipanga kuingia sasa salama kwenye awamu hii ya pili ya kuendelea na maisha kwa tahadhari wakati ugonjwa huu ukingalipo. Angalizo la msingi, "lakini ugonjwa ukiwa umedhibitiwa vilivyo kwanza."

Rwanda, Uganda, USA, UK, Australia, New Zealand, Namibia, Italy, Spain nk, ni mfano wa nchi zilizoko kwenye hatua hizo. Kenya wanapambana vilivyo ili nao angalau waweze kufika kwenye hatua hiyo.

Unaweza ishi na mnyama hatari aliyeko kwenye cage au mhalifu hatari aliyeko jela si anayezurura huru mitaani.

Brazil, Tanzania, Sudan kusini, Burundi, Congo nk, tungali na makundi ya simba, chui, fisi, mbwa mwitu, nk yakizurura mitaani mwetu.

Eti kuwa tunataka sasa kujiaminisha na kuwaachia watoto wetu wadogo kabisa wa chekechea wajiendee tu shule peke yao kwamba wanyama hao watawazoea tu muda unavyopita! Mbona itakuwa ni kujidanganya kwa wazi kuliko pitiliza mno?

Brazil na sisi kwa hali ya sasa kimsingi tofauti haiwezi kuwapo. Kiuhalisia maambukizi yangali bado yanaongezeka sana. Tunatofautiana kwa viwango tu na hilo kwa mwendo wetu huu ni suala la muda tu.

Angalia hapa hawa (Brazil). Wanaanza vipi kuishi na Corona katika hali hii waliyomo sasa?

Kilicho wafikisha hapo ni kama hiki hiki cha kwetu - kibri kilicho pitiliza cha kiongozi wao mkuu.

Hata mareria tunaishi nayo lakini ni hatari, kuna mtu unapima unamkuta ana mareria 12_ 20 laina anadunda kitaa, lakini kuna mtu ana mareria 3 hata hanyanyukii kitandani na anweza kufa, kwa hiyo usitegemee ugongwa utabaki upo kama vile vichakani kisha unarudi, utabaki humuhumu kwa binadamu ila ukikuzidi unaugua au unakufa, hautajifivha bali tutatembea nao tu au mazingira tuayoishi.
 
What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See
Nyakati 1 hour ago Gossip News

Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique approaches to Covid-19
17 May, 2020:

AS SOON AS the International Monetary Fund (IMF) released a COVID 19 loan of $1.5 billion to Kenya amid concerns of “embezzlement” of the funds, President Uhuru Kenyatta whose nation is the second highest in pandemic cases, announced to close border with Tanzania, amid COVID 19 thanksgiving prayers and a return to normalcy for schools and sports next week due to decreased cases of the pandemic in Tanzania.

“My President Kenyatta and WHO always need to climb a tree to see what the Tanzanian Scientist leader, John Magufuli seeson his chair (sitting down),” wrote a Kenyan blogger after Magufuli’s speech on status of the pandemic in Tanzania today [17 May, 2020].
With 830 cases and 50 COVID deaths, Kenya which locked down on WHO conditions, becomes the second most affected East African nation after DRC. Tanzania has thus far registered only 509 cases with 21 COVID deaths and did not lock down.

The Spectrum was Different for Tanzania

The three East African nations of Kenya, Uganda and Rwanda, which locked down and also went on a COVID 19 response borrowing spree, did not see on the same spectrum as Tanzania because the pandemic will hang on for a long time.
Uganda signed $540.2 million and Rwanda $223.65 million from the IMF. The Bretton Woods Institution has raised concerns on Kenya, demanding the country to be transparent in the spending of the “hunk.”

The civil society in Uganda also demanded transparency in the spending of COVID 19 loans to avoid overburdening the country’s taxpayers with corruption-fueled debts, The East African reported.

Instead of issuing new unbearable loans, the Tanzanian leader, Dr. Magufuli, had called on a consideration of restructuring debt repayment for relief. He was supported by a few African and European leaders as the wisest option in the face of a global health crisis.

What Magufuli Says WHO Confirms Days Later

On 22 April, 2020, Dr. Magufuli said spraying the streets and bus terminals will not kill Corona. At least 25 days later, WHO confirms that spraying disinfectants and other no-touch methods on streets is not effective to kill corona virus.
On 15th May, 2020, WHO issued the new Guidelines titled: Cleaning and disinfection of environmental surfaces in the context of COVID-19, Interim guidance.

On the other hand, the New York Mayor, Andrew Cuomo,confirmed that most of the people who contracted the virus, had stayed at home.
This revelation confirms a study done in the US which revealed that a person's immunity drops by 30% when locked down for a month.

Dr. Magufuli did not opt for lock down as demanded by WHOand its associates. Other countries blamed the Tanzanian leader for refusing to lock down to the extent of threatening to close their borders, unfortunately some did.
He also suspected the efficacy of COVID 19 test kits, reagents or staffing, days later, a US analyst Alex Jones, confirmed that the American CDC, WHO and Bill & Melinda Gates Foundation had issues, particularly in inflating results of Corona virus tests.

Magufuli Admits his Own Child Tested positive for COVID 19

The Tanzanian leader admitted that his own child was infested by COVID 19 and completely healed on lemon and ginger.

He further said, “this pandemic will go like others. He further said, "I did not lockdown because our landlocked neighbors will find it hard to esessential needs during the pandemic.”

Home / Gossip News / What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See
What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See
Nyakati 1 hour ago Gossip News

Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique approaches to Covid-19
17 May, 2020:

AS SOON AS the International Monetary Fund (IMF) released a COVID 19 loan of $1.5 billion to Kenya amid concerns of “embezzlement” of the funds, President Uhuru Kenyatta whose nation is the second highest in pandemic cases, announced to close border with Tanzania, amid COVID 19 thanksgiving prayers and a return to normalcy for schools and sports next week due to decreased cases of the pandemic in Tanzania.

“My President Kenyatta and WHO always need to climb a tree to see what the Tanzanian Scientist leader, John Magufuli seeson his chair (sitting down),” wrote a Kenyan blogger after Magufuli’s speech on status of the pandemic in Tanzania today [17 May, 2020].
With 830 cases and 50 COVID deaths, Kenya which locked down on WHO conditions, becomes the second most affected East African nation after DRC. Tanzania has thus far registered only 509 cases with 21 COVID deaths and did not lock down.

The Spectrum was Different for Tanzania

The three East African nations of Kenya, Uganda and Rwanda, which locked down and also went on a COVID 19 response borrowing spree, did not see on the same spectrum as Tanzania because the pandemic will hang on for a long time.
Uganda signed $540.2 million and Rwanda $223.65 million from the IMF. The Bretton Woods Institution has raised concerns on Kenya, demanding the country to be transparent in the spending of the “hunk.”

The civil society in Uganda also demanded transparency in the spending of COVID 19 loans to avoid overburdening the country’s taxpayers with corruption-fueled debts, The East African reported.

Instead of issuing new unbearable loans, the Tanzanian leader, Dr. Magufuli, had called on a consideration of restructuring debt repayment for relief. He was supported by a few African and European leaders as the wisest option in the face of a global health crisis.

What Magufuli Says WHO Confirms Days Later

On 22 April, 2020, Dr. Magufuli said spraying the streets and bus terminals will not kill Corona. At least 25 days later, WHO confirms that spraying disinfectants and other no-touch methods on streets is not effective to kill corona virus.
On 15th May, 2020, WHO issued the new Guidelines titled: Cleaning and disinfection of environmental surfaces in the context of COVID-19, Interim guidance.

On the other hand, the New York Mayor, Andrew Cuomo,confirmed that most of the people who contracted the virus, had stayed at home.
This revelation confirms a study done in the US which revealed that a person's immunity drops by 30% when locked down for a month.

Dr. Magufuli did not opt for lock down as demanded by WHOand its associates. Other countries blamed the Tanzanian leader for refusing to lock down to the extent of threatening to close their borders, unfortunately some did.
He also suspected the efficacy of COVID 19 test kits, reagents or staffing, days later, a US analyst Alex Jones, confirmed that the American CDC, WHO and Bill & Melinda Gates Foundation had issues, particularly in inflating results of Corona virus tests.

Magufuli Admits his Own Child Tested positive for COVID 19

The Tanzanian leader admitted that his own child was infested by COVID 19 and completely healed on lemon and ginger.

He further said, “this pandemic will go like others. He further said, "I did not lockdown because our landlocked neighbors will find it hard to esessential needs during the pandemic.”
[5/18, 5:16 PM] Philbert: Tanzania borders eight countries of Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi and Mozambique. Tanzania is a food basket for most of her neighbors such as Kenya, Burundi, DRC and Rwanda, particularly for the staples, notably cereals.
Dr. Magufuli asked his country men and women to redouble their efforts in working hard in farms and in industries to produce and process more food crops as the impact of COVID 19 “lockdown” in countries which opted the impasse, cannot be evident now but will be felt in a couple of months.

Magufuli Calls for 3 Days of National “Thanksgiving”Prayers for COVID 19

“I trust God. Our God is faithful, He has answered our ardent prayers, we sincerely give thanks to the Lord God for listening to our humble prayers in time of distress and now we need to continue taking precaution,” President Magufuli said in anemotional speech at a Church Service on Sunday, 17 May, 2020.

He called on the Tanzanians to set aside three worship days of Friday, Saturday and Sunday for thanksgiving for what the Lord hath done by listening to their prayers and healed their land.

The pandemic cases continue to decrease and Magufuli became the only President in the world to sniff a rat on handling the testing process and having spent his previous years in labs, heexposed data cheating on COVID test results.

Conspiracy Revealed

In the USA, analysts like Alex Jones of InfoWars.com, confirms that President Donald Trump is finally awakened to the reality that COVID 19 test results are purely political and were inflated.

He claims on a recorded clip that the American CDC and WHO, controlling the American NIH coronavirus handling, were attempting to engage in economic warfare, to keep the United States lockdown through the Tuesday, November 3, 2020 elections.

He says Trump’s challengers, the Democrats, believe a bad economy will be instrumental in making Donald Trump lose this year’s elections.
By John Njoroge, Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app

Your highness, I have read the pasted write up with very much of open mind. Through it I find the following observations:

1. That, "Kenya closed the border shortly after receiving the money from the IMF.....', to be very much misleading:

Challenges of Corona associating trans border activities have been there for quite some time. These involved all borders including those not associating Tanzania with the other countries. Even before the Kenyan side was closed, Rwanda, Uganda, Burundi and Zambia had much earlier closed their borders with Tanzania on similar grounds.

Why then pick on Kenya to make out such a story? Furthermore why pick on such allegations now, to coincide with the whatever Thanksgiving or the now reopening of the schools in Tanzania?

Important to notice, when Kenya closed the borders nobody had an idea of the Thanksgiving nor the today's schools reopening announcement. This not being in Kenya nor in Tanzania.

For these alone, I see a clear ill intention from the side of the author of the article in the rightly identified tabloid as "the gossip".

Furthermore, president Museveni had a telephone conversation (sometimes in April) with the presidents Kenyatta, Kagame and Magufuli in which they discussed the challenges associated with the cross border activities in the era of Corona. In the conversation Museveni categorically said, "In the long telephone conversation, I had a very good understanding with all but Dr Magufuli."

Do we know what he did not agree with Magufuli? Do we know what he agreed with the others?

Yet there was a meeting of EAC presidents chaired by president Kagame. For this meeting, in attendance also were the presidents Museveni, Kenyatta and Kiir. The meeting was intended to discuss on the issues of the cross border activities within the current challenges of Corona.

Magufuli did not attend this meeting for reasons which were said to be associated with the way himself had opted in dealing with this pandemic in his country (probably from his said tree top vision).

Do we know what was discussed or resolved in that meeting?

For these as well, why today pick on Kenya to be the reason of the border closure with Tanzania?

Useful also to note, both Tanzania and Kenya have been very open on this matter.

The two have consistently said, "it is a Corona crisis issue nothing more nothing less."

The rest qualifies the tabloid into what it is "the gossip".

2.
3.
4.

One can write more in response to this article in this tabloid. However I am afraid it is long and useless.

I would advise Dr Magufuli not to fool himself or be fooled by such tabloids. He needs to look right at where he is seated. A ticking bomb (this pandemic) is right there!
 
Hata mareria tunaishi nayo lakini ni hatari, kuna mtu unapima unamkuta ana mareria 12_ 20 laina anadunda kitaa, lakini kuna mtu ana mareria 3 hata hanyanyukii kitandani na anweza kufa, kwa hiyo usitegemee ugongwa utabaki upo kama vile vichakani kisha unarudi, utabaki humuhumu kwa binadamu ila ukikuzidi unaugua au unakufa, hautajifivha bali tutatembea nao tu au mazingira tuayoishi.

Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya malaria au magonjwa mengine ambayo hatuyapigii kelele kwa sasa na Covid-19, ugonjwa uletwao na virus viitwavyo Corona.

Tofauti ya malaria na haya mengine ni kuwa yana tiba inayojulikana vyema. Hata ni sahihi kusema mtu hana sababu ya kufa kwa malaria katika standard za sasa na hata kwa hapa nchini tu.

Ukweli mchungu akili za kuambiwa changanyikiwa na za kwako:

1. Uwezo wa nchi nyingi kupima maambukizi ya covid-19 ni mdogo sana.
2. Waathirika wengi wa ugonjwa huu hawatambuliwi.
3. 5% - 10% ya walioambukizwa wote watakufa.
4. Vifo vingi vya ghafla na hata vinavyodhaniwa kuwa ni kwa sababu ya magonjwa mengine, kimsingi ni vifo kutokana na Corona. Rejea #1 hapo juu.
5. Nchi nyingi duniani zikiwamo hizi zetu hawatoi takwimu sahihi (hata kama wanazo) ya nini kinaendelea na ugonjwa huu.

Hiyo #5 Tanzania ndiyo baba lao. Kumbuka takwimu za mwisho za ugonjwa huu hapa nchini ni Apr 29.
 
Manake msiba wake niliona ITV waki uripoti na ulifanyikia nyumbani kwa mzee wake na watu walikuwa wanaenda kutoa pole au ndio tuna unganisha misiba yote iliyotokea kipindi hiki cha partial lockdown wamekufa na Corona.
mhhhhh mambo ni mengi sana kwa kipindi hiki,watu wanafanya tetesi kuwa ni habari
 
Back
Top Bottom