Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #41
Yaaani mpaka imekua kero..Labda kuna mpangaji kavuruga hiyo mita tanesco wanaona matumizi yenu ni level ya kiwanda.
Ila kuna fundi alikuja akatoa ushauri kuwa tuwe tunamwaga maji pale kwenye Earth rod