Kuishi na majirani yataka moyo

Kuishi na majirani yataka moyo

Yaan bado hatujasema
Me kuna nyumba moja niliwahi ishi ni ya kupangaaa oyaaa kulikuwa na nke ya ntu inantakaaa yan nikikaaa nje tu basi atachukuaaa vidagaaa vyake achambue na wakat huo amekaaa mbele angu kachanua miguu aiseee naona tahiti akeee tu aiseee
Kumchungulia, taiti tu,ukajua anakutaka! Ungeona chupi je? Au kananiliu kake! Aliwahi kusema hivo?
 
Yaan bado hatujasema
Me kuna nyumba moja niliwahi ishi ni ya kupangaaa oyaaa kulikuwa na nke ya ntu inantakaaa yan nikikaaa nje tu basi atachukuaaa vidagaaa vyake achambue na wakat huo amekaaa mbele angu kachanua miguu aiseee naona tahiti akeee tu aiseee
[/QUOTE]
Yaani mkuu hayo ndo nayokutana nayo mimi kwa sasa ila naimani Mungu yupo pamoja na mimi.

Unajua nafatilia sana ushauri wa DR HAYA LAND ile ishu ya semen retention ejaculation...

Sili mke wa mtu kwa namna yoyote ile an...
Usije jaribu mkuu
 
Daah ila mkuu kama umedandia tren kwa mbele..

Hoja hapa ni kuwa watu hawalipii umeme wakitegemea mimi mwenye biashara kwa vyovyote vile nitanunua.

Mbona una waza negative tu...
Unakua against kwa kitu ata ujaelewa vzri juu hapo
Nooo,nimeelewa. Labda ungesema nimeegemea upande mmoja. Mi nimeongelea tu uliposema kwamba kuna mtu anategemea buzi lake. Nikasema hapo pengine angekuwa na uwezo,angekuwa anasupport
 
Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji. Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie.

Watu wanakera sana sana sana. Ishu imekua changamoto hapa ni umeme yaani umeme unaisha kama kuna mpangaji anakunywa.

Na biashara yangu hapa inategemea umeme hivo kuna mda ukikatika wenyewe wanajikausha kimya wakitegemea mimi lazima nitalipa tu.

Wakuu naombeni ushauri hapa au maoni hiki tatizo naepuka vipi. Maana mama mwenye nyumba nae ana mambo mengi mno.

Nyumba inakula umeme kama kiwanda cha misumali aiseee. Nilijua baada ya kupata biashara hii ya kupata chochote kitu nitakua nishamaliza kumbe kuna huu ujinga ujinga wa wapangaji kuwa na visirani na watu.

Na hiki kisirani ndo kinafanya vijana tuwe tunawaka hawa wadada ambao wameolewa ila wanashindwa kutimiziwa haki ya msingi. Sometimes genye zinaweza kuleta taflani.

Nawasilisha. Juu hapo nimeomba ushauri kutokana na hii ishu ya umeme watu kushindwa kulipa wanategemea mimi wa biashara nitalipa. Natatua vipi?
Guys nimatumain yang nyote wazima nashida na chumba cha kupanga sngle bei isizd tsh 40000 ,0755458754 whatsup number yangu
 
Vema mkuu hahah Yaani mkuu hayo ndo nayokutana nayo mimi kwa sasa ila naimani Mungu yupo pamoja na mimi.

Unajua nafatilia sana ushauri wa DR HAYA LAND ile ishu ya semen retention ejaculation...

Sili mke wa mtu kwa namna yoyote ile an...
Usije jaribu mkuu
[/QUOTE]
 
Nooo,nimeelewa. Labda ungesema nimeegemea upande mmoja. Mi nimeongelea tu uliposema kwamba kuna mtu anategemea buzi lake. Nikasema hapo pengine angekuwa na uwezo,angekuwa anasupport
Aaaaah hapo nimekuelewa maana jana ile nikaona kama una ni attack hv mkuu..

Maana hali nayopitia even you usingeweza ku handle mkuu acha tuu mamb haya yanatia hasira
 
Napingana na kauli ya kusema kuishi na majirani yataka moyo badala yake ungesema kuishi na wapumbavu yataka moyo
 
Back
Top Bottom