Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #41
Yaaani mpaka imekua kero..Labda kuna mpangaji kavuruga hiyo mita tanesco wanaona matumizi yenu ni level ya kiwanda.
Daaah nitajitahidi japo ni mziki mwingine huoKama una biashara vuta mita yako mkuu.Hapo utakuwa umewanyoosha
Ahahahhhah jana nusu nivunje kiuno nilikua nasaidia fundi mageti kuchomelea madirisha pale polisiukiwa bishoo nd utapata tabu mkuu we endelea kupaua tu mijumba
Hahaha 🤣 🤣 🤣 ila somo unatisha sana, usijenambia koma mimi sio somo wako.Hama.
koma. Mimi siyo shangazi yako.
Weka mita yako Tsh. 321000Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji. Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie.
Watu wanakera sana sana sana. Ishu imekua changamoto hapa ni umeme yaani umeme unaisha kama kuna mpangaji anakunywa.
Na biashara yangu hapa inategemea umeme hivo kuna mda ukikatika wenyewe wanajikausha kimya wakitegemea mimi lazima nitalipa tu.
Wakuu naombeni ushauri hapa au maoni hiki tatizo naepuka vipi. Maana mama mwenye nyumba nae ana mambo mengi mno.
Nyumba inakula umeme kama kiwanda cha misumali aiseee. Nilijua baada ya kupata biashara hii ya kupata chochote kitu nitakua nishamaliza kumbe kuna huu ujinga ujinga wa wapangaji kuwa na visirani na watu.
Na hiki kisirani ndo kinafanya vijana tuwe tunawaka hawa wadada ambao wameolewa ila wanashindwa kutimiziwa haki ya msingi. Sometimes genye zinaweza kuleta taflani.
Nawasilisha. Juu hapo nimeomba ushauri kutokana na hii ishu ya umeme watu kushindwa kulipa wanategemea mimi wa biashara nitalipa. Natatua vipi?
Pole mkuuuMkuu kuna watu wanafanya maisha yawe magumu sana ujue
Ha ha ha rich auntHama.
koma. Mimi siyo shangazi yako.
Kwann mkuu umesema ivo 😂😂😂😂Wewe bibi kama sio mchawi sijui
Ahahahha mkuu unatetea ujingaHahaha 🤣 🤣 🤣 ila somo unatisha sana, usijenambia koma mimi sio somo wako.
Mkuu pesa yote hyo ni sawa na kodi ya fremu yangu miezi 12Weka mita yako Tsh. 321000
Nashukuru mkuu.Pole mkuuu
Anajua akiitwa shangazi vijana wa hovyo wata..... NaeHa ha ha rich aunt
Pole ya nn tenah mkuuNashukuru mkuu.
Pole na wewe pia
Hakuna cha shangazi wala aunt. Niite faizaFoxy tu, hunijuwi sikujuwi.Ha ha ha rich aunt
Mimi siyo mchawi, ni ukweli msioupenda.Wewe bibi kama sio mchawi sijui
Yaani wote tupo kwenye misala mkuuPo
Pole ya nn tenah mkuu
Kuchamba wenzako tuu. Kufariji aaaaahMimi siyo mchawi, ni ukweli msioupenda.
Tena koma sana, mimi siyo "bibi" yako. Huioni ID yangu?
Nakutahadharisha, hiyo ni "name calling".
Daah ila mkuu kama umedandia tren kwa mbele..Utoto shida.
We kama unajiweza,mbona hukupanga kivyako? Huyo anayemtegemea kishtobe wake,kosa lake nini hapo? Uwezo mdogo?! Haya maisha tulizaneni,leo unacho,kesho huna. Leo huna,kesho umepata.
Uanaume ni kutambua kuwa kuna wakati wengine hawana chochote. Utakuta mjinga anajisifu eti akipika getoni kwake,wanakuja kujikalisha ili akale nao. Shida hazina adabu.