Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Kumchungulia, taiti tu,ukajua anakutaka! Ungeona chupi je? Au kananiliu kake! Aliwahi kusema hivo?Yaan bado hatujasema
Me kuna nyumba moja niliwahi ishi ni ya kupangaaa oyaaa kulikuwa na nke ya ntu inantakaaa yan nikikaaa nje tu basi atachukuaaa vidagaaa vyake achambue na wakat huo amekaaa mbele angu kachanua miguu aiseee naona tahiti akeee tu aiseee
[/QUOTE]Yaan bado hatujasema
Me kuna nyumba moja niliwahi ishi ni ya kupangaaa oyaaa kulikuwa na nke ya ntu inantakaaa yan nikikaaa nje tu basi atachukuaaa vidagaaa vyake achambue na wakat huo amekaaa mbele angu kachanua miguu aiseee naona tahiti akeee tu aiseee
Nooo,nimeelewa. Labda ungesema nimeegemea upande mmoja. Mi nimeongelea tu uliposema kwamba kuna mtu anategemea buzi lake. Nikasema hapo pengine angekuwa na uwezo,angekuwa anasupportDaah ila mkuu kama umedandia tren kwa mbele..
Hoja hapa ni kuwa watu hawalipii umeme wakitegemea mimi mwenye biashara kwa vyovyote vile nitanunua.
Mbona una waza negative tu...
Unakua against kwa kitu ata ujaelewa vzri juu hapo
Guys nimatumain yang nyote wazima nashida na chumba cha kupanga sngle bei isizd tsh 40000 ,0755458754 whatsup number yanguWakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji. Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie.
Watu wanakera sana sana sana. Ishu imekua changamoto hapa ni umeme yaani umeme unaisha kama kuna mpangaji anakunywa.
Na biashara yangu hapa inategemea umeme hivo kuna mda ukikatika wenyewe wanajikausha kimya wakitegemea mimi lazima nitalipa tu.
Wakuu naombeni ushauri hapa au maoni hiki tatizo naepuka vipi. Maana mama mwenye nyumba nae ana mambo mengi mno.
Nyumba inakula umeme kama kiwanda cha misumali aiseee. Nilijua baada ya kupata biashara hii ya kupata chochote kitu nitakua nishamaliza kumbe kuna huu ujinga ujinga wa wapangaji kuwa na visirani na watu.
Na hiki kisirani ndo kinafanya vijana tuwe tunawaka hawa wadada ambao wameolewa ila wanashindwa kutimiziwa haki ya msingi. Sometimes genye zinaweza kuleta taflani.
Nawasilisha. Juu hapo nimeomba ushauri kutokana na hii ishu ya umeme watu kushindwa kulipa wanategemea mimi wa biashara nitalipa. Natatua vipi?
Pole mkuuNooo,nimeelewa. Labda ungesema nimeegemea upande mmoja. Mi nimeongelea tu uliposema kwamba kuna mtu anategemea buzi lake. Nikasema hapo pengine angekuwa na uwezo,angekuwa anasupport
Alifanya mambo mengi saana mengine kueleza apaa ni aibu mkuuuKumchungulia, taiti tu,ukajua anakutaka! Ungeona chupi je? Au kananiliu kake! Aliwahi kusema hivo?
Kumbe we ndo huyu?
Aaaaah hapo nimekuelewa maana jana ile nikaona kama una ni attack hv mkuu..Nooo,nimeelewa. Labda ungesema nimeegemea upande mmoja. Mi nimeongelea tu uliposema kwamba kuna mtu anategemea buzi lake. Nikasema hapo pengine angekuwa na uwezo,angekuwa anasupport
Sehemu gani unahitaji chumba...Guys nimatumain yang nyote wazima nashida na chumba cha kupanga sngle bei isizd tsh 40000 ,0755458754 whatsup number yangu
Aahahahahah natoa somo murua hapoKumbe we ndo huyu?
Ishu ni location ya biashara yangu.Hama hapo
Wapi sasa, masaki au kazulamimba?Guys nimatumain yang nyote wazima nashida na chumba cha kupanga sngle bei isizd tsh 40000 ,0755458754 whatsup number yangu
Wewe ndio kero, wenzako wanawashia taa tuu huku wewe unatumia umeme kufanyia biashara, na unataka mlipe sawa, huna akili weweYaaani mpaka imekua kero..
Ila kuna fundi alikuja akatoa ushauri kuwa tuwe tunamwaga maji pale kwenye Earth rod
point ipo hapoWewe ndio kero, wenzako wanawashia taa tuu huku wewe unatumia umeme kufanyia biashara, na unataka mlipe sawa, huna akili wewe