Kuishi na majirani yataka moyo

Wewe ndio kero, wenzako wanawashia taa tuu huku wewe unatumia umeme kufanyia biashara, na unataka mlipe sawa, huna akili wewe
Bado kuna kitu ujaelewa hapo...
Ni vyema ukasoma kwa makini..

Sijazungumzia usawa wa kulipa. Nimezungumzia ushirikiano mimi...
 
ww unatumia umeme wa nyumban kujiingizia kipato, wao wanawashia taa na vifaa vya mziki ambapo matumizi yake ni kidogo sana. Unaona mpo sawa?
Mkuubishu sio kulipa kwa usawa...
Elewa kuwa mda ukiisha umeme wanashindwa kushirikiana na mimi mfano mi natoa 15k wenyewe wanatoa 5k..

Siku ukiisha mda wa kuchanga wanakua hawana ushirikiano
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ–οΈAseee Jiji laendelea kuwa la moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…