Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Lol.Mkuu nawaona, ndio maana nikauliza wenzangu mnaweza kuishiji nao huko makwenu?
Mtu kama OKW BOBAN SUNZU au GENTAMYCINE hawa ni kielelezo cha jinsi wanasimba walivyo mbumbumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol.Mkuu nawaona, ndio maana nikauliza wenzangu mnaweza kuishiji nao huko makwenu?
Mtu kama OKW BOBAN SUNZU au GENTAMYCINE hawa ni kielelezo cha jinsi wanasimba walivyo mbumbumbu
Nishafika ukiona watu wanawaanzishia uzi daily mara hili mara lile jua ww ni threat kwake..Simba iko midomoni mwa wapinzani kuliko hata timu zao...Yaan nilitaka kukutag uje umsikilize huyu mpuuzi,,,, kumbe ushafika tayar
Mwenyekiti wenu Aden Rage yeye kasemaje? Halafu mtu mwenye akili hawezi kutumia maneno ya Manara kama reference..Tena wakati huo Manara akiwa ni afisa habari wa SimbaManeno ya Yanga unatakaje kuyafanya ya wanasimba.
Wanasimba hatuna shida na timu yetu. Kama Asernal wanaweza kuivumilia timu Yao ndiyo siye tushindwe!!??
Manara kasema wenye akili Yanga wapo wawili tu.
Nimeipenda sana hiiNishafika ukiona watu wanawaanzishia uzi daily mara hili mara lile jua ww ni threat kwake..Simba iko midomoni mwa wapinzani kuliko hata timu zao...
Siyo ni kama....!! Hawa ni vichaa waliokimbia matibabu.Mashabiki wa Simba ni kama vichaa waliotoroka milembe
Achana nao wanaforce furaha kupitia sisi..yani wao wafurahi ni mpk waone Simba inaanguka...wanaforce ku trend 😂 😂Nimeipenda sana hii
Yaan madam ukiwepo wewe semaji la wanasimba jf wala sina wasiwasi najua utawatuliza tu, ndio maana nilitaka kukutafutaAchana nao wanaforce furaha kupitia sisi..yani wao wafurahi ni mpk waone Simba inaanguka...wanaforce ku trend 😂 😂
Yani nyie ndo wehu mnaotembea kwny vivuli vya watu wenye akili...Siyo ni kama....!! Hawa ni vichaa waliokimbia matibabu.
Na ndiyo maana hata Rage aliwaita mbumbumbu. Wao wanachojua siku zote ni kutukana tu watu hovyo, na kuwalalamikia wachezaji na viongozi wa timu pale timu yao inapofungwa au kutoa sare.
kaa nao mbali hao watakung'ata...washavurugwaWakuu kwema.. Hivi hawa watu nyie mnawezaje kuishi nao? Mbona ni watu wenye uelewa mdogo sana na huu mchezo wa soka?
Kuna jamaa zangu ni mashabiki wa Simba hapo juzi kabla ya mchezo wa Simba na Prisons walikuwa wakisema Simba ni timu tishio Africa, Aly Ahly, Mamelodi, Tp Mazembe wote kwa sasa wanaiogopa Simba, timu yeyote itayokuja mbele yao itapigwa goli kuanzia 6 na kuendelea..
Sasa mara baada ya mechi kuisha na Simba kupigwa goli 2-1 Maneno yao yamegeuka, utawasikia ooh Simba ni hovyo sana, pale hakuna timu, Uongozi haufai, tumesajili magarasa. Wengine wakaenda mbali zaidi na kusema timu nzima imejaza wazee, mara yule benchikha hamna kocha pale anabebwa na uwezo wa Chama tu....
Hivi nyie huko mtaani kwenu mnawezaje kuishi na viumbe vigeugeu wa namna hii??
Yaani ukishakuwa tu shabiki wa simba, basi Mirembe au Lutindi inakuhusu. Na kama huamini tuanze kuchunguza idadi ya Mapopoma na majitu yanayotukana watu hovyo humu jukwaani! Mwisho wa siku utagundua idadi kubwa ni mashabiki wa simba.Vichaa includes ndugu zenu wote ambao ni mashabiki wa Simba..
Yani nyie ndo wehu mnaotembea kwny vivuli vya watu wenye akili...
Ni Watu Waliochanganyikiwa.Kwani Mkuu huwaonagi hata humu majukwaani.
Aisee basi wanaitaji msaada mkubwa sana, tuwaidie, popote ukutanapo na shabikia wa Simba mwambie simba ndio bingwa wa ligi ya nbc na ndio timu tishio duniani kwa sasaSiyo ni kama....!! Hawa ni vichaa waliokimbia matibabu.
Na ndiyo maana hata Rage aliwaita mbumbumbu. Wao wanachojua siku zote ni kutukana tu watu hovyo, na kuwalalamikia wachezaji na viongozi wa timu pale timu yao inapofungwa au kutoa sare.
Vyura ni vyura tuu...kelele jadi yao...
Hili halina ubishi Mkuu kwani wazi wazi tu kwa baadhi yao inaonekana bila hata msaada wa darubini.Ni Watu Waliochanganyikiwa.
Labda akuje kuthibitisha jinsi walivyo mbumbumbuSemaji la wanasimba Kalpana ,,,,ukuje huku naona bado wanaendelea kubweka huku