Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

Yaan nilitaka kukutag uje umsikilize huyu mpuuzi,,,, kumbe ushafika tayar
Nishafika ukiona watu wanawaanzishia uzi daily mara hili mara lile jua ww ni threat kwake..Simba iko midomoni mwa wapinzani kuliko hata timu zao...
 
Maneno ya Yanga unatakaje kuyafanya ya wanasimba.

Wanasimba hatuna shida na timu yetu. Kama Asernal wanaweza kuivumilia timu Yao ndiyo siye tushindwe!!??

Manara kasema wenye akili Yanga wapo wawili tu.
Mwenyekiti wenu Aden Rage yeye kasemaje? Halafu mtu mwenye akili hawezi kutumia maneno ya Manara kama reference..Tena wakati huo Manara akiwa ni afisa habari wa Simba
 
Achana nao wanaforce furaha kupitia sisi..yani wao wafurahi ni mpk waone Simba inaanguka...wanaforce ku trend 😂 😂
Yaan madam ukiwepo wewe semaji la wanasimba jf wala sina wasiwasi najua utawatuliza tu, ndio maana nilitaka kukutafuta
 
Vichaa includes ndugu zenu wote ambao ni mashabiki wa Simba..
Siyo ni kama....!! Hawa ni vichaa waliokimbia matibabu.

Na ndiyo maana hata Rage aliwaita mbumbumbu. Wao wanachojua siku zote ni kutukana tu watu hovyo, na kuwalalamikia wachezaji na viongozi wa timu pale timu yao inapofungwa au kutoa sare.
Yani nyie ndo wehu mnaotembea kwny vivuli vya watu wenye akili...
 
Wakuu kwema.. Hivi hawa watu nyie mnawezaje kuishi nao? Mbona ni watu wenye uelewa mdogo sana na huu mchezo wa soka?
Kuna jamaa zangu ni mashabiki wa Simba hapo juzi kabla ya mchezo wa Simba na Prisons walikuwa wakisema Simba ni timu tishio Africa, Aly Ahly, Mamelodi, Tp Mazembe wote kwa sasa wanaiogopa Simba, timu yeyote itayokuja mbele yao itapigwa goli kuanzia 6 na kuendelea..

Sasa mara baada ya mechi kuisha na Simba kupigwa goli 2-1 Maneno yao yamegeuka, utawasikia ooh Simba ni hovyo sana, pale hakuna timu, Uongozi haufai, tumesajili magarasa. Wengine wakaenda mbali zaidi na kusema timu nzima imejaza wazee, mara yule benchikha hamna kocha pale anabebwa na uwezo wa Chama tu....

Hivi nyie huko mtaani kwenu mnawezaje kuishi na viumbe vigeugeu wa namna hii??
kaa nao mbali hao watakung'ata...washavurugwa
 
Vichaa includes ndugu zenu wote ambao ni mashabiki wa Simba..

Yani nyie ndo wehu mnaotembea kwny vivuli vya watu wenye akili...
Yaani ukishakuwa tu shabiki wa simba, basi Mirembe au Lutindi inakuhusu. Na kama huamini tuanze kuchunguza idadi ya Mapopoma na majitu yanayotukana watu hovyo humu jukwaani! Mwisho wa siku utagundua idadi kubwa ni mashabiki wa simba.
 
Siyo ni kama....!! Hawa ni vichaa waliokimbia matibabu.

Na ndiyo maana hata Rage aliwaita mbumbumbu. Wao wanachojua siku zote ni kutukana tu watu hovyo, na kuwalalamikia wachezaji na viongozi wa timu pale timu yao inapofungwa au kutoa sare.
Aisee basi wanaitaji msaada mkubwa sana, tuwaidie, popote ukutanapo na shabikia wa Simba mwambie simba ndio bingwa wa ligi ya nbc na ndio timu tishio duniani kwa sasa
 
Wengine wana watoto mashabiki wa simba..mama zao baba zao..wote ni vichaa..kama unajijua ww ni mshabiki wa Simba una mtu wako wa karibu ni Simba..mume au mke basi jua ni vichaa...
kwa mujibu wa Utopoloz wa JF...
 
Back
Top Bottom