Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

Naona mmepata pa kuponea
Ni nyenye nye nyee tuu mnaongea hapa...
 
Wengine wana watoto mashabiki wa simba..mama zao baba zao..wote ni vichaa..kama unajijua ww ni mshabiki wa Simba una mtu wako wa karibu ni Simba..mume au mke basi jua ni vichaa...
kwa mujibu wa Utopoloz wa JF...
Watajifanya hawajaona hii comment
 
Yaani ukishakuwa tu shabiki wa simba, basi Mirembe au Lutindi inakuhusu. Na kama huamini tuanze kuchunguza idadi ya Mapopoma na majitu yanayotukana watu hovyo humu jukwaani! Mwisho wa siku utagundua idadi kubwa ni mashabiki wa simba.
Hata ww ni wale wale tuu sasa kumuita mtu popoma sio tusi?
 
Kama hawana akili unabishana nao ya nini?mbona inaonekana we ndo tahira hapo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndio maana wanaitwa Makolo au mbumbumbu fc
 
Mimi nimemaliza ngoja tuone machizi yale orijino yenye akili 2 sasa yanavyochizika kwenye comments...
 
Haiitaji Microscope kugundua mashabiki wa Simba ni hamnazo. Simba ni vilaza tupu kwa mujibu wa mwenyekiti wao wa zamani
 
Siku zote chizi anawaona watu walionzunguka ndio machizi
 
Mtaani nimeacha kubishana naoo
Wanabishana mpaka mishipa ya kila sehemu inawasimama
Hawana hoja wamekalia historia tu!

Ukiwauliza hata Mwenyekiti wao anaitwa nani utasikia ety Mo dewji[emoji1787]
Wanabishana hadi jasho linatoka kwenye meno
 
Sio namna ya kuishi, ni umaskini ndio unakusumbua
 
Aahaaaaa

Tunawavumilia
 
Mimi huwa nawafananisha mashabiki wa Simba na madereva bodaboda
Bora dereva bodaboda, ana fanya kazi ya kujipatia kipato ili asiwe maskini Kama wewe unayekalisha mapumbu yako kwa shemeji yako ukisubiri akuletee chakula mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…