Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We utakua uliokotwa Kimboka
Ukishaviokota ndio urijali? Unaokota takataka unaifurahia? Teh teh inashangaza sana. Hata wanaume wana mapungufu mkuu, unadhani wake zenu hawawaoni wanaume wazuri wenye six packs, wasafi, wanaowajali na wenye pesa ndefu? Mtengeneze mke/mume wako jinsi unavyotaka awe. Kama anakupenda mtaenda sawa!Wake zetu muwe mnajiongeza basi msifikir hatuvioni vibinti vya chuo. Tena na hivi vimekosa mkopo. Tunaokota kilainiii
Nikweli kuvumilia madhaifu Lakin yapo yanayoweza kuvuniliwa ndani ya ndoa na mengine haiwezekaniMuhimu kwenye ndoa ni kujua udhaifu wa kila mmoja na kuuvumilia na ku ukubali udhaifu wa mwenzio na sio kutaka kubadilisha udhaifu wa mwenzio ili awe sawa na wewe, hilo haliwezekani.
Hahahaaaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]daaah ipo mantiki ya hii kitu yaaap hapo ataelewa kuwa hukupendezwa na kama anaakili atajilekebisha**** mmoja alisema eti mwanamke akivaa suruali nawe chukua gauni uvae msishindane wote kuvaa suruali
Walah leo umenikosha imebidi niku quote khaaaa hii mizigo ya lawama inaenda upande mmojaMimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.
Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.
Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Yaani wewe ndo wale tunaowazungumzia apaMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Hapa tunapeana shida maana na sisi wanaume tuna mazingaombwe yetu na muda mwingine ma vimbwanga yenu yanasababishwaga na sisi.Jamani poleni sana kumbe tunawapa shida hivi
Kweli mkuu bila hivo mkwamo lazimaUkitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
Ukiona hivyo sababu hiyo ndoa ilikuwa ni ya mwendo kasi,ila kuishi na mke kwa walio pevuka na kujua nini maana ya ndoa,kuishi na mke raha sana.Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
Hebu funguka mkuu japo kwa ufupi tu... PlsVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Nakuelewa,am in the same mess only difference is huyu wangu ni cheater, nadhani ndani ya wiki hii am walking awayNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
Sema tu mkuu,Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Aiseee mkuuu nimekuelewaNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
..Nimeipenda hii"Joto la jiwe analijua Mjusi"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahh ulijipatia mkibosho wa machamee..
"joto la jiwe analijua mjusi" hongera mkuu
Aisee najuta. Lakini si unajua WAGALATIA tulivyo wanafiki TALAKA anatoa Rais wa Vatikane. Mm nimeamua kufanya yangu.Hahaha Shemeji nn tatzo ?? Kwani unataka niambia ulivyomposa dada yangu na mbege yote ile....unaona umeingia cha kike ?? [emoji23][emoji23]