Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Jamani kila mtu Ana mapungufu yake haukna ambaye ni perfect cha msing ni kuvumliana,kurekebishana na maisha uaendelee.maana ukiamua kuacha kuoa mwingne na kuacha.jombaa utaacha wangapi....
 
Wake zetu muwe mnajiongeza basi msifikir hatuvioni vibinti vya chuo. Tena na hivi vimekosa mkopo. Tunaokota kilainiii
Ukishaviokota ndio urijali? Unaokota takataka unaifurahia? Teh teh inashangaza sana. Hata wanaume wana mapungufu mkuu, unadhani wake zenu hawawaoni wanaume wazuri wenye six packs, wasafi, wanaowajali na wenye pesa ndefu? Mtengeneze mke/mume wako jinsi unavyotaka awe. Kama anakupenda mtaenda sawa!
 
Muhimu kwenye ndoa ni kujua udhaifu wa kila mmoja na kuuvumilia na ku ukubali udhaifu wa mwenzio na sio kutaka kubadilisha udhaifu wa mwenzio ili awe sawa na wewe, hilo haliwezekani.
Nikweli kuvumilia madhaifu Lakin yapo yanayoweza kuvuniliwa ndani ya ndoa na mengine haiwezekani

Mfano Mwanamke anaechepuka anavumilika? Je utamvumilia adi pale atakapokuletea ukimwi ndan? Yapo mambo kwa kwel kwa wanandoa tunapaswa kuyatazama kwa umbali na upana wake
 
**** mmoja alisema eti mwanamke akivaa suruali nawe chukua gauni uvae msishindane wote kuvaa suruali
Hahahaaaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]daaah ipo mantiki ya hii kitu yaaap hapo ataelewa kuwa hukupendezwa na kama anaakili atajilekebisha
 
Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Walah leo umenikosha imebidi niku quote khaaaa hii mizigo ya lawama inaenda upande mmoja
 
Jamani poleni sana kumbe tunawapa shida hivi
Hapa tunapeana shida maana na sisi wanaume tuna mazingaombwe yetu na muda mwingine ma vimbwanga yenu yanasababishwaga na sisi.
 
Kweli mkuu bila hivo mkwamo lazima
 
Ukiona hivyo sababu hiyo ndoa ilikuwa ni ya mwendo kasi,ila kuishi na mke kwa walio pevuka na kujua nini maana ya ndoa,kuishi na mke raha sana.
 
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Hebu funguka mkuu japo kwa ufupi tu... Pls
 
Nakuelewa,am in the same mess only difference is huyu wangu ni cheater, nadhani ndani ya wiki hii am walking away
 
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Sema tu mkuu,
Wa pembezoni mwa huo mlima wanatatizo gani?
 
Aiseee mkuuu nimekuelewa
 
Hahaha Shemeji nn tatzo ?? Kwani unataka niambia ulivyomposa dada yangu na mbege yote ile....unaona umeingia cha kike ?? [emoji23][emoji23]
Aisee najuta. Lakini si unajua WAGALATIA tulivyo wanafiki TALAKA anatoa Rais wa Vatikane. Mm nimeamua kufanya yangu.
 
Kuishi na mwansune kunahitaji uvumilivu toka mbingu nyingine kabisa. Hebu ona sasa km huyu anavyojianika hapa. Lahaula. Hg chumbani? Na unaeleza na unajidai nyumba ni yako? Eti wewe ndio kichwa? Kichwa gani hicho au mkia??? Wanaume!!! Alol. Pole ni kosa lako kijana. Tena miaka 6 tu unalia km mtoto 40 utafikisha?? Wazazi wako wanagonga ngapi sasa? Komaa mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…