ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
mkuu MATOWASHI ndio ninivijana mkishindwa kuweni MATOWASHI tu ni bora kuliko ndoa
Matowashi Ninavyofahamu ni wale maburuda wavaa kanzu wasiooamkuu MATOWASHI ndio nini
Matowashi ni wale ambayo 'jongoo' kashindwa kupanda mtungiMatowashi Ninavyofahamu ni wale maburuda wavaa kanzu wasiooa
Ume Nena kweliVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
mkuu una kibamia nini??? kama ulivyo na akili kichwani vivyo ivyo na wanawake nao nazani wana akili kichwani.... mwanamke mwingine mpaka akufanyie ivyo hujui nae ulimfanyaje my be anakutafutia njia ya wewe uchepuke ili uwe chanzoNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
Huku ndipo walipo wanawake ambo uptstairs kumechangamka na wenye kuona mbele na utatakiwa uwe flexible kupokea ushauri kutoka kwao kwa sababu huwa na malengo makubwa ya kufanikiwa. Mwanaume asiyependa kushauriwa ndiye atawaona threat tu. Mimi nimeoa pembezoni mwa mlima na ninaona tukipiga hatua kwa speed kubwa kimaendeleo. Kuwa transparent na kukaribisha mijadala ktk kupanga mambo na kuepuka kilevi na uzinzi kutawafikisha mbali kimaendeleo. Tatizo hawapendi maisha ya kona kona wala kudanganywa.Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Hahahaha ngoma drooMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo