Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Nini maana ya huu uzi,maana mleta uzi hujaolewa na unaongelea vibaya ndoa?!! Kwenye Ndoa yapo mengi, uliyoyaona hayajai hata kijiko,ila lazima ujue kua wengine wanafurahia wakati wengine wanaumia,sijui fungu lako ni lipi,ukiolewa utajua.
 
Life without a wife is not life but a wife is a knife to cut your life......!
 
Mbona hujasema ulichoshuhudia mpaka kusema hayo?
Tushuhudishe na sisi kile ulichoshuhudia!
 
Mkuu usikimbie changamoto za maisha unapaswa kukabiliana nazo kwa hiyo unamuona mzazi wako aliyeolewa akakuzaa na kukulea vizuri ukasoma ni mjinga?
 
Hakua hivyo mwanzo?.Pombe ni janga kwenye mahusiano
 
Usiwatie ujinga wezako, hata ulichokiona chenyewe hujakitaja hapa, sasa tutakuamini vipi?
 
Mtoa mada umeleta mada inayoendana na wakati,waliofaidi ndoa ni wazee wetu wazamani, kama tulivyouona wasifu wa marehemu kingunge Ngombale mwilu namkewe waneoana vijana kabisa hadi wamezeeka wote lakini ukimuoa mwanamke wa kuleo anakuwa na akuli mbili moja ni yakuushi nawewe nyingine anakuwa na malengo yake binafsi kwamba siku yoyote ndoa ikiisha nayeye anakuwa ameshapata chakuanzia maisha ndiyomaana wanachepuka sana sikuhizi ili kufanikisha miradi yao
 
Mtoa mada amegoma kueleza. Watu dizaini ya mtoa mada huwa wasumbufu sana kwenye ndoa. Anaweza nuna unamuuliza sababu hakujibu. Huwa wananyima na papuchi🙂
 
sio kisa nyingi ni mbovu ikamaanisha zote zafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…