Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
KwakweliUnajua mnapokutana wawil kila mtu ana akili zake amelelewa kivyake sasa mmoja kumfanya mwingine awe sawa nae ni vigum sana nasema uc4c 2f8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliUnajua mnapokutana wawil kila mtu ana akili zake amelelewa kivyake sasa mmoja kumfanya mwingine awe sawa nae ni vigum sana nasema uc4c 2f8
Mambo mazto yataka uvumilivu,kama uvumilivu hakuna kukimbia n dk0Wengi tu wanakimbia co siri
Aah bibi weee hakuna jambo jipya chini ya jua hili,tuambiage hayo mambo motomoto nasie tujifunze..etii[emoji6]Mambo mazto shoga angu yan acha tyu hata kusimulia ni shidaaa
Life without a wife is not life but a wife is a knife to cut your life......!Ni balaa sanaa kuishi na mtu ni kazi ngumu wenye mioyo ya chuma ndo wataoolewa kwakweli ndoa sio kitu cha spotspot,usiolewe kwa kuiga au kisa mtoto au kisa umr umeenda kwa Hyo ukaolewa ili mradi
mambo n mazitooo moto unawaka hahahahah kama hauna uvumilivu kama mimi bora ukajikalia tu ila usijiingize ndoan bila uvumilivu.
Mbona hujasema ulichoshuhudia mpaka kusema hayo?Ni balaa sanaa kuishi na mtu ni kazi ngumu wenye mioyo ya chuma ndo wataoolewa kwakweli ndoa sio kitu cha spotspot,usiolewe kwa kuiga au kisa mtoto au kisa umr umeenda kwa Hyo ukaolewa ili mradi
mambo n mazitooo moto unawaka hahahahah kama hauna uvumilivu kama mimi bora ukajikalia tu ila usijiingize ndoan bila uvumilivu.
Mkuu usikimbie changamoto za maisha unapaswa kukabiliana nazo kwa hiyo unamuona mzazi wako aliyeolewa akakuzaa na kukulea vizuri ukasoma ni mjinga?Ni balaa sanaa kuishi na mtu ni kazi ngumu wenye mioyo ya chuma ndo wataoolewa kwakweli ndoa sio kitu cha spotspot,usiolewe kwa kuiga au kisa mtoto au kisa umr umeenda kwa Hyo ukaolewa ili mradi
mambo n mazitooo moto unawaka hahahahah kama hauna uvumilivu kama mimi bora ukajikalia tu ila usijiingize ndoan bila uvumilivu.
Hakua hivyo mwanzo?.Pombe ni janga kwenye mahusianoYaan ndoa ni kero stress za kijinga utumwa . Kuna kiumbe naishi nacho .jamani nimemvumilia kwa kiwango cha zege ila upendo umekwisha sasa .mtu anarudi saa nane yupo zwiiii anataka akute chakula hajaacha hata Mia ukishika cm yake kila cku lazima chozi likutoke .sasa anavyokuchunga hata ukienda dukani tu atakuhoji Kama upo polisi
Alikuwa ananificha Ila sasa ndo anajiachia apendavyoHakua hivyo mwanzo?.Pombe ni janga kwenye mahusiano
Pole my dear..Omba atabadilikaAlikuwa ananificha Ila sasa ndo anajiachia apendavyo
Toa mrejesho MkuuNasoma hili na wiki ijayo napeleka barua pembeni ya mlima mrefu, mbona wanitisha?