Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Me nataka kuoa ila nina miaka 21 mnanishauri vipi ndugu yangu na Joyce wangu nishamchumbia bado kupeleka mahari milioni 6.
Mzee kuitunza familia ni jukumu..sio hisani..hapo namba mbili...kweli1. Yaani unajinyima kwa ajili ya familia lakini mke yeye haoni.
2. Nahakikisha kuwa anafika kileleni (orgasm) kabla mimi sijakojoa bado haoni hiyo daah. Inaudhi
Ajabu mimi mwenyewe nashangaa[emoji134] [emoji134]Mapadri hawajawahi kuoa maishani Leo hii wanajidai ndo wasuluhishi wa ndoa
Vijana wa kizazi kipyaaVijana mna kazi kweli kweli
Mkuu ebu fafanua hapo kidogo natarajia kuingia ulingoni na moja kati ya makabila ya pembezoni mwa mlima hukoVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Wanawake kazi tunayo, yaani ushindwe kisa hilo tu!!!Wakati nausoma huu uzi nilikua nauona wa kawaida sana
Leo mimi ni shahidi mzuri sana
Mke anakesha anapekenyua simu .Hatulali tunajibizana mbona huyu dada kalike picha yako
Kitu kidogo tu amenuna ,nahisi naelekea kushindwa
Ni nguvu za Mungu ndiyo maana anaweza kuwa na umri mdogo lakini anawashauri makuku ya ndoa naAjabu mimi mwenyewe nashangaa[emoji134] [emoji134]
Labda inawezekana kutakuwa na nguvu ya Mungu ndani yao pindi wanaposuluhisha ndoa za watu.
Haahaaa haa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] afafanue etiMkuu ebu fafanua hapo kidogo natarajia kuingia ulingoni na moja kati ya makabila ya pembezoni mwa mlima huko
Shangaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata weweWanawake kazi tunayo, yaani ushindwe kisa hilo tu!!!
Tatizo kila mtu anamtupia lawama mwenzie badala ya kuangalia nakosea wapi unakuta 1 kashindwa kutimiza wajibu wakefuraha ya ndoa ipo kwako wewe mwenyewe wala haipo kwa mkeo/mumeo......
tunafanya makosa kuamini furaha zetu wanazo wenza wetu......
hakuna haja ya kumtafuta mchawi....