Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

furaha ya ndoa ipo kwako wewe mwenyewe wala haipo kwa mkeo/mumeo......
tunafanya makosa kuamini furaha zetu wanazo wenza wetu......
hakuna haja ya kumtafuta mchawi....
 
Me nataka kuoa ila nina miaka 21 mnanishauri vipi ndugu yangu na Joyce wangu nishamchumbia bado kupeleka mahari milioni 6.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duh Ndoa zina kazi kumbe eeeh. Wanaume wanalalamika wanawake wanalalamika. Bora nikawe MTAWA
 
tatzo mnaleta democracy had kwenye ndoa mke wang nishamtengua kiuno miez,, 6 Bila kupga Kaz yoyote saiz heshima ingawa najua nauoga upo
 
1. Yaani unajinyima kwa ajili ya familia lakini mke yeye haoni.
2. Nahakikisha kuwa anafika kileleni (orgasm) kabla mimi sijakojoa bado haoni hiyo daah. Inaudhi
Mzee kuitunza familia ni jukumu..sio hisani..hapo namba mbili...kweli
 
Mapadri hawajawahi kuoa maishani Leo hii wanajidai ndo wasuluhishi wa ndoa
Ajabu mimi mwenyewe nashangaa[emoji134] [emoji134]
Labda inawezekana kutakuwa na nguvu ya Mungu ndani yao pindi wanaposuluhisha ndoa za watu.
 
Hakuna uvumilivuwachuma wala ni nini ukiona hivyo Hakuwawako huyo akienda kwenye nambayake atatulia
 
Wakati nausoma huu uzi nilikua nauona wa kawaida sana

Leo mimi ni shahidi mzuri sana

Mke anakesha anapekenyua simu .Hatulali tunajibizana mbona huyu dada kalike picha yako

Kitu kidogo tu amenuna ,nahisi naelekea kushindwa
Wanawake kazi tunayo, yaani ushindwe kisa hilo tu!!!
 
Ajabu mimi mwenyewe nashangaa[emoji134] [emoji134]
Labda inawezekana kutakuwa na nguvu ya Mungu ndani yao pindi wanaposuluhisha ndoa za watu.
Ni nguvu za Mungu ndiyo maana anaweza kuwa na umri mdogo lakini anawashauri makuku ya ndoa na
anaeleweka vizuri na Mungu anabariki ushaurivwao
 
Mkuu ebu fafanua hapo kidogo natarajia kuingia ulingoni na moja kati ya makabila ya pembezoni mwa mlima huko
Haahaaa haa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] afafanue eti
 
furaha ya ndoa ipo kwako wewe mwenyewe wala haipo kwa mkeo/mumeo......
tunafanya makosa kuamini furaha zetu wanazo wenza wetu......
hakuna haja ya kumtafuta mchawi....
Tatizo kila mtu anamtupia lawama mwenzie badala ya kuangalia nakosea wapi unakuta 1 kashindwa kutimiza wajibu wake
au kosa kalifanya yeye badala ya kujirudi lakini ubishi tu siku mwenza akifanya yale lawama yeye anasahau aliyo fanya yeye
 
Back
Top Bottom