Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

kuoa ni plan B baada ya kuzidiwa. ni last option ukiishiwa kuvumilia. kuoa ni kujitolea. kwa maana hata St Paul wengine (wakristo) wanayeamini katika busara na hekima zake aliandika kuwa UOE KAMA TU UMESHINDWA KUISHI MWENYEWE. ILA KUISHI MWENYEWE NI BORA ZAID NA YA KUPENDEZA. kumbuka ndoa ni kujinyima kwa kupoteza/ kupunguza A ukapata B.(Marriage is a decision to serve the other). kama hujui namna ya kujinyima hiyo A kwa uchaguz mbaya au busara/hekima zako haba, utakuta hata B hauna. utapoteza assset adimu ya kuishi ambayo ni FURAHA. ni kwa vile tu aliyemdesign binadam hamna namna ya kumhoji lakini tofauti ya me na ke katika mahitaji ya kimahusiano na hatimaye kindoa ni kubwa kiasi kwamba ni ngumu kuishi na kiumbe mnayetofautina mitazamo na mahitaji kwa kiwango hiki. njia pekee ni kiumbe kimoja kukiminya kingine na kukitawala(survival of the fittest). kama dunia itafikia hatua ya kujiaminisha kuoa/kuolewa na kutooa/ kutoolewa vyote ni sawa kijamii na kisheria itakuwepo afueni kwa pande zote 2. mana hakuna hitaji liliko ndan ya ndoa na halipatikani nje ya ndoa.
 
Andiko lisome kuishi na mke wako, usi generalize!
 
Tatizo mnaingia kwenye ndoa na watu msiowafahamu vizuri, mmekutana super market ukavutiwa na chura, twende kazi

Muonekano wa nje utakufanya uumfuate LAKINI utu wa ndani & tabia ndivyo vitakavyodumisha ndoa na kuifanya iwe ya amani

NB: Ingawa uzuri wa mtu uku kwenye macho ya mtu mwenyewe
 
Mkuu ebu fafanua hapo kidogo natarajia kuingia ulingoni na moja kati ya makabila ya pembezoni mwa mlima huko
Mkuu karibu kwenye chama ila uingie na akili kuwa ipo siku kitawaka **Utatukanwa wewe na ukoo wako ndani ya sekunde 60 kama video ya Instagram** ila uwe mpole usije ukamchapa makonde binti wa wa watu. Jifanye mjinga huku kichwani una lako. Zile mbwembwe za kukusanya michango, bia, KWAITO utazilipia kwenye ndoa. Asanteni.
 
kuoa ni plan B baada ya kuzidiwa. ni last option ukiishiwa kuvumilia. kuoa ni kujitolea. kwa maana hata St Paul wengine (wakristo) wanayeamini katika busara na hekima zake aliandika kuwa UOE KAMA TU UMESHINDWA KUISHI MWENYEWE. ILA KUISHI MWENYEWE NI BORA ZAID NA YA KUPENDEZA. kumbuka ndoa ni kujinyima kwa kupoteza/ kupunguza A ukapata B.(Marriage is a decision to serve the other). kama hujui namna ya kujinyima hiyo A kwa uchaguz mbaya au busara/hekima zako haba, utakuta hata B hauna. utapoteza assset adimu ya kuishi ambayo ni FURAHA. ni kwa vile tu aliyemdesign binadam hamna namna ya kumhoji lakini tofauti ya me na ke katika mahitaji ya kimahusiano na hatimaye kindoa ni kubwa kiasi kwamba ni ngumu kuishi na kiumbe mnayetofautina mitazamo na mahitaji kwa kiwango hiki. njia pekee ni kiumbe kimoja kukiminya kingine na kukitawala(survival of the fittest). kama dunia itafikia hatua ya kujiaminisha kuoa/kuolewa na kutooa/ kutoolewa vyote ni sawa kijamii na kisheria itakuwepo afueni kwa pande zote 2. mana hakuna hitaji liliko ndan ya ndoa na halipatikani nje ya ndoa.
Mstari gani paulo kasema hivyo
 
Unahisi Paulo alitoshelezaje ashki zake ikiwa hakuoa,na je alipiga nyeto? Aliijekuketi usiku naturally? Hakutamani?....Je,inawezekana kuishi bila kuoa ama kuzini? Kwa mwanaume lijali!?
 
Hawakawii kuwa wapole, endelea kuvumilia mkuu
 
Ndoa ni changamoto sana hasa ukipata mtu asiyejielewa. Wanaume wote mnaojitambua,tuombeane tu maana kama ni ndoa tulishaingia
 
Waliokuwemo wanataka kutoka na wasiokuwemo wanataka kuingia. Huu mchezo hauhitaji hasira. Inabidi kuvumiliana.
 
Back
Top Bottom