Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu karibu kwenye chama ila uingie na akili kuwa ipo siku kitawaka **Utatukanwa wewe na ukoo wako ndani ya sekunde 60 kama video ya Instagram** ila uwe mpole usije ukamchapa makonde binti wa wa watu. Jifanye mjinga huku kichwani una lako. Zile mbwembwe za kukusanya michango, bia, KWAITO utazilipia kwenye ndoa. Asanteni.Mkuu ebu fafanua hapo kidogo natarajia kuingia ulingoni na moja kati ya makabila ya pembezoni mwa mlima huko
Mstari gani paulo kasema hivyokuoa ni plan B baada ya kuzidiwa. ni last option ukiishiwa kuvumilia. kuoa ni kujitolea. kwa maana hata St Paul wengine (wakristo) wanayeamini katika busara na hekima zake aliandika kuwa UOE KAMA TU UMESHINDWA KUISHI MWENYEWE. ILA KUISHI MWENYEWE NI BORA ZAID NA YA KUPENDEZA. kumbuka ndoa ni kujinyima kwa kupoteza/ kupunguza A ukapata B.(Marriage is a decision to serve the other). kama hujui namna ya kujinyima hiyo A kwa uchaguz mbaya au busara/hekima zako haba, utakuta hata B hauna. utapoteza assset adimu ya kuishi ambayo ni FURAHA. ni kwa vile tu aliyemdesign binadam hamna namna ya kumhoji lakini tofauti ya me na ke katika mahitaji ya kimahusiano na hatimaye kindoa ni kubwa kiasi kwamba ni ngumu kuishi na kiumbe mnayetofautina mitazamo na mahitaji kwa kiwango hiki. njia pekee ni kiumbe kimoja kukiminya kingine na kukitawala(survival of the fittest). kama dunia itafikia hatua ya kujiaminisha kuoa/kuolewa na kutooa/ kutoolewa vyote ni sawa kijamii na kisheria itakuwepo afueni kwa pande zote 2. mana hakuna hitaji liliko ndan ya ndoa na halipatikani nje ya ndoa.
Unahisi Paulo alitoshelezaje ashki zake ikiwa hakuoa,na je alipiga nyeto? Aliijekuketi usiku naturally? Hakutamani?....Je,inawezekana kuishi bila kuoa ama kuzini? Kwa mwanaume lijali!?kuoa ni plan B baada ya kuzidiwa. ni last option ukiishiwa kuvumilia. kuoa ni kujitolea. kwa maana hata St Paul wengine (wakristo) wanayeamini katika busara na hekima zake aliandika kuwa UOE KAMA TU UMESHINDWA KUISHI MWENYEWE. ILA KUISHI MWENYEWE NI BORA ZAID NA YA KUPENDEZA. kumbuka ndoa ni kujinyima kwa kupoteza/ kupunguza A ukapata B.(Marriage is a decision to serve the other). kama hujui namna ya kujinyima hiyo A kwa uchaguz mbaya au busara/hekima zako haba, utakuta hata B hauna. utapoteza assset adimu ya kuishi ambayo ni FURAHA. ni kwa vile tu aliyemdesign binadam hamna namna ya kumhoji lakini tofauti ya me na ke katika mahitaji ya kimahusiano na hatimaye kindoa ni kubwa kiasi kwamba ni ngumu kuishi na kiumbe mnayetofautina mitazamo na mahitaji kwa kiwango hiki. njia pekee ni kiumbe kimoja kukiminya kingine na kukitawala(survival of the fittest). kama dunia itafikia hatua ya kujiaminisha kuoa/kuolewa na kutooa/ kutoolewa vyote ni sawa kijamii na kisheria itakuwepo afueni kwa pande zote 2. mana hakuna hitaji liliko ndan ya ndoa na halipatikani nje ya ndoa.
haha...em tuelezee kidogo bossNawaza kustep down,siwez vumilia ujinga tena!
Ingia tu mkuu ila ujiandae kwa usiyoyatarajiaWaliokuwemo wanataka kutoka na wasiokuwemo wanataka kuingia. Huu mchezo hauhitaji hasira. Inabidi kuvumiliana.
Moto wa wanawake wa Kimachame na Kinyakyusa si wa nchi hiiSina la kuongeza maana nimeoa nauona moto wake,
Unaweza kuyayusha hata hicho Chuma cha uvumilivu.