Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma


Msianze kuuliza vipato vyetu pia .
 
Binti wa kirombo hujambo
 
Unapoamua kuingia kwenye ndoa unatakiwa uwe tayari kimwili na kiakili katika kukabiliana na changamoto za ndoa......

Tofauti iliyopo ya ndoa za sasa na zamani ni kuwa vijana wa sasa wanaingia kwenye ndoa wakiwa tayari kimwili nikiwa na maana ya mihemko na sio kiakili.....

Ndio maana miaka ya nyuma kulikuwa na sherehe za unyago kwa watoto wa kike na sherehe za jando kwa watoto wa kiume.....

Kutokana na mageuzi ya kimfumo kwenye maisha ya kijamii imepelekea mila hizo kupuuzwa kama sio kuachwa kabisa.....

Na haya ni moja ya madhara yake....

Maisha ya ndoa yanataka uvumilivu kwa kuwa ni maisha ya watu wawili wenye mapungufu na sio wakamilifu......

Ukiwa umeingia umejiandaa kiakili utakuwa madhubuti kukabiliana na changamoto hizo......
 
Sio kuishi na mke tu hata kuishi na mume pia uvumilivu unahitajika tena uwe na hofu na mungu ndo kidooogo utafalu la sivyo utauona moto, na hio yote inaletwa na kutofanya maamuzi sahihi, kukurupuka kuolewa au kuoa kila mmepeana mimba au kutaka watu waone nawe umeoa au umeolewa. Mbaya sana kuoa au kuolewa na mtu ambaye sio rafiki yako mzuri, u will suffer.
 

wewe bwana ndugu wanazaliwa tumbo moja ila kila mtu anakuwa na tabia zake sembuse watu mmekutana tuu kila mtu na makuzi yake. alafu bwana hawa wanawake wewe ukioa ukitegemea sijui kusaidiana na mambo kama hayo itakula kwako. wewe nenda na philosophy kuwa wanawake ni burudani tuu. wewe gegeda bassssssssssss
 
Doh!
Itabidi kwa mwendo huo wa pasu kwa pasu itabidi pia muanze kukojoa mkiwa mmesimama kama sisi
 
Wrong!
 
Kiongozi haiwezekani!!!
Usipate msuko suko wowote kwenye ndoa!!!
Hawa viumbe sio wa kawaida kabisaaa!!!
 
Sawa, na sisi wanawake tumekuelewa, ishini nasi kwa akili
 
Sana sana aisee.... Wanawake ni headeck
Kama ni head ache si uachana nae, kwani umelazimishwa, ukiona hauna peace of mind, unacahapa tu lapa, why ujitese mkuu kwa mtoto wa mwenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…