Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Mkuu hivi ni kweli nasikia huwa inafika hatua unajuta kuoa,unasema bora ningebaki kuwa Single???Sina la kuongeza maana nimeoa nauona moto wake,
Unaweza kuyayusha hata hicho Chuma cha uvumilivu.
Nathibitisha. Ni kweli. Unatamani japo urudie ubachela sema sheria za Kigalatia ndoa ni mpaka KIFO kiwatenganisheMkuu hivi ni kweli nasikia huwa inafika hatua unajuta kuoa,unasema bora ningebaki kuwa Single???
furaha ya ndoa ipo kwako wewe mwenyewe wala haipo kwa mkeo/mumeo...... Tunafanya makosa kuamini furaha zetu wanazo wenza wetu......
hakuna haja ya kumtafuta mchawi....
Umenikumbusha jambo mkuu. Nilikua ughaibuni sasa nikiwa narudi airport duty free shops nataka nimnunulie perfumes daah nikamrushia picha kwenye whatsapp achague ni ipi anaipenda aisee Nilijuta. Akageuza kesi kuwa ile whatsapp haikuwa yake bali ya mchepuko from that day sinunui chochote popote zaidi ya chakula na mahitaji muhimu nyumbani.Kiukweli hawa watu ni shida, unaweza kulala kwa raha Ile asubuhi tu unaamka akakuharibia siku, either utashinda na full shangwe Ile inaingia nyumbani hata hujapoa ushakuwa kero.
Hahaaaaa tatizo nyie huwa mnaharibu uaminifu na mchepuko hamuwahi smart sasa ukiomba msamaha unajua yameisha kumbe liko moyoni sasa yeye hutafta pakumulia.Umenikumbusha jambo mkuu. Nilikua ughaibuni sasa nikiwa narudi airport duty free shops nataka nimnunulie perfumes daah nikamrushia picha kwenye whatsapp achague ni ipi anaipenda aisee Nilijuta. Akageuza kesi kuwa ile whatsapp haikuwa yake bali ya mchepuko from that day sinunui chochote popote zaidi ya chakula na mahitaji muhimu nyumbani.
Jifunze kujitaftia furaha mwenyewe na amani ukisubiria mke utakufa siku zote. Mimi tangia ni jifunze Kuwa jukumu la furaha na amani ni langu mwenyewe huwa sihangaiki na ujinga wa mtuNathibitisha. Ni kweli. Unatamani japo urudie ubachela sema sheria za Kigalatia ndoa ni mpaka KIFO kiwatenganishe
Sasa kama hausamei ili upate nn?Hahaaaaa tatizo nyie huwa mnaharibu uaminifu na mchepuko hamuwahi smart sasa ukiomba msamaha unajua yameisha kumbe liko moyoni sasa yeye hutafta pakumulia.
Hata nyie ni kero huwa tunawavumilia na kupuuza sema nyie ndo mnajiona mna haki.
Very trueJifunze kujitaftia furaha mwenyewe na amani ukisubiria mke utakufa siku zote. Mimi tangia ni jifunze Kuwa jukumu la furaha na amani ni langu mwenyewe huwa sihangaiki na ujinga wa mtu
Sasa kama hausamei si uondoke tu. Jitu vivu hata kusafisha uchi vzr hutaki unakuja kitandani unanuka maziwa,kikwapa na huko makao makuu dodoma unategemea nn?
Nakupuuzia tu unasamehe Lakin kurudisha hisia ndo ngumu. Nyie wenyewe mki cheat huwa hamsamehi unafikiri wanawake ndo hawana mioyo eeehSasa kama hausamei ili upate nn?
Huu uamuzi uliofanya nimeupenda sana, mara nyingine unajitahidi kumwonyesha mwenzio kuwa unajali na kumpemda ila unapata usichotarajia. Kum ignore mtu inasaidia sana kuliko kuendelea kubishana na mtu kusiko na tija.Umenikumbusha jambo mkuu. Nilikua ughaibuni sasa nikiwa narudi airport duty free shops nataka nimnunulie perfumes daah nikamrushia picha kwenye whatsapp achague ni ipi anaipenda aisee Nilijuta. Akageuza kesi kuwa ile whatsapp haikuwa yake bali ya mchepuko from that day sinunui chochote popote zaidi ya chakula na mahitaji muhimu nyumbani.
Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mweziHuu uamuzi uliofanya nimeupenda sana, mara nyingine unajitahidi kumwonyesha mwenzio kuwa unajali na kumpemda ila unapata usichotarajia. Kum ignore mtu inasaidia sana kuliko kuendelea kubishana na mtu kusiko na tija.
Kila mtu ajitafutie furaha yake mwenyewe sio? Ukifika home ni kulala tu! Wanawake walio wengi (hususani wakristo) hawajielewi, kisa, ndoa ya kikristo inayosema mpaka kifo kiwatenganishe kiukweli huko ndo kunawapa kiburi cha kumjibu mume chochote, popote. Wana sahau nasi tunahitaji upendo na utamu wa papuchi vinginevyo tutautafuta popote ikiwemo kwa SHEMEJI zetu hata kwa MA-HAUSIGELI.Umeongea kitu cha msingi sana sana.
Hapo kwenye urembo ndo PASSWORD ilipoPia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
Mungu hapendi hiki kitu..... 😳Ifike wakat wakristo tuwe na uwezo wa kutoa talaka
Kipi bora? Kesi ya Mauaji au Talaka mtu aendelee na tabia zakeMungu hapendi hiki kitu..... 😳