Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kiukweli hawa watu ni shida, unaweza kulala kwa raha Ile asubuhi tu unaamka akakuharibia siku, either utashinda na full shangwe Ile inaingia nyumbani hata hujapoa ushakuwa kero.
Umenikumbusha jambo mkuu. Nilikua ughaibuni sasa nikiwa narudi airport duty free shops nataka nimnunulie perfumes daah nikamrushia picha kwenye whatsapp achague ni ipi anaipenda aisee Nilijuta. Akageuza kesi kuwa ile whatsapp haikuwa yake bali ya mchepuko from that day sinunui chochote popote zaidi ya chakula na mahitaji muhimu nyumbani.
 
Hahaaaaa tatizo nyie huwa mnaharibu uaminifu na mchepuko hamuwahi smart sasa ukiomba msamaha unajua yameisha kumbe liko moyoni sasa yeye hutafta pakumulia.

Hata nyie ni kero huwa tunawavumilia na kupuuza sema nyie ndo mnajiona mna haki.
 
Sasa kama hausamei ili upate nn?
 
Hapo kweli ni kero sana papuchi lazima ioshwe vzuri tena before tendo lazima u take shower maana harufu hukata stimu ya mchezo.

Hivi unafikiri najua una mchepuko hata nikipuuzia ujue upendo kwako utashuka mara dufu inabaki mazoea tu hata nyege zinakata, ni bora ukamwombe huyo mchepuko wako
Sasa kama hausamei si uondoke tu. Jitu vivu hata kusafisha uchi vzr hutaki unakuja kitandani unanuka maziwa,kikwapa na huko makao makuu dodoma unategemea nn?
 
TUKUMBUKE MWANAMKE NDIE KIUMBE ALIYEKUTANA NA SHETANI, SASA HATUJUI WALIONGEA NINI ZAIDI YA KULA LILE TUNDA. LABDA HII NDIO IMPLEMENTATION YAKE
 
Umenikumbusha jambo mkuu. Nilikua ughaibuni sasa nikiwa narudi airport duty free shops nataka nimnunulie perfumes daah nikamrushia picha kwenye whatsapp achague ni ipi anaipenda aisee Nilijuta. Akageuza kesi kuwa ile whatsapp haikuwa yake bali ya mchepuko from that day sinunui chochote popote zaidi ya chakula na mahitaji muhimu nyumbani.
Huu uamuzi uliofanya nimeupenda sana, mara nyingine unajitahidi kumwonyesha mwenzio kuwa unajali na kumpemda ila unapata usichotarajia. Kum ignore mtu inasaidia sana kuliko kuendelea kubishana na mtu kusiko na tija.
 
Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
 
Umeongea kitu cha msingi sana sana.
Kila mtu ajitafutie furaha yake mwenyewe sio? Ukifika home ni kulala tu! Wanawake walio wengi (hususani wakristo) hawajielewi, kisa, ndoa ya kikristo inayosema mpaka kifo kiwatenganishe kiukweli huko ndo kunawapa kiburi cha kumjibu mume chochote, popote. Wana sahau nasi tunahitaji upendo na utamu wa papuchi vinginevyo tutautafuta popote ikiwemo kwa SHEMEJI zetu hata kwa MA-HAUSIGELI.
 
Suluhisho la yote hayo ni MICHEPUKO ndio itakayokuweka active.

Hata ukimuacha ukitafuta mwengine basi utakutana na hayohayo tu. Wanawake wanakua watamu na wanaleta furaha wanapokuwa michepuko naasio wake. Ushauri wangu tafuta michepuko machungu yatapungua tu.
 
Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
Hapo kwenye urembo ndo PASSWORD ilipo
 
Back
Top Bottom