katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Michepuko hoyeeeeSuluhisho la yote hayo ni MICHEPUKO ndio itakayokuweka active.
Hata ukimuacha ukitafuta mwengine basi utakutana na hayohayo tu. Wanawake wanakua watamu na wanaleta furaha wanapokuwa michepuko naasio wake. Ushauri wangu tafuta michepuko machungu yatapungua tu.
Hahaaa Nimeipenda hiiNajaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,
ungejua huwa siongoi mpaka sometimes mr. huwa ananiona kama nna kiburi vile, me vyangu vitendo tu
Hata mimi nilikuwa naye wa hivyo hivyo, sijui ndio huyo huyo mkuu?Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
Sasa bora hata angekuwa anakata mauno mtu ungeweza kuvumilia mauno yenyewe hamna. Kuboana kama dozi kutwa mara 3.Hata mimi nilikuwa naye wa hivyo hivyo, sijui ndio huyo huyo mkuu?
Ni kweli mkuu.Ndo maana Mungu akaagiza kuishi nao kwa akili.
Cariha, kwenye hili la perfume huyu dada alikosea.Inawezekana ilikua mara ya kwanza kununuliwa ndio maana akahisi hivyo ila alikosea.Hahaaaaa tatizo nyie huwa mnaharibu uaminifu na mchepuko hamuwahi smart sasa ukiomba msamaha unajua yameisha kumbe liko moyoni sasa yeye hutafta pakumulia.
Hata nyie ni kero huwa tunawavumilia na kupuuza sema nyie ndo mnajiona mna haki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nilikuwa naye wa hivyo hivyo, sijui ndio huyo huyo mkuu?
Dawa ni kumpuuza tu. Unaendelea na yakoMola atufanyie wepesi kwa hawa Wagalatia wenzetu. Vinginevyo unaweza kununua kesi
Cariha, kwenye hili la perfume huyu dada alikosea.Inawezekana ilikua mara ya kwanza kununuliwa ndio maana akahisi hivyo ila alikosea.
Hata mimi nilikuwa naye wa hivyo hivyo, sijui ndio huyo huyo mkuu?
Hakika kuchepuka hakuepukiki hususani ukioa MCHAGA (wanaboa haswaa)