Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

I kati ya 100 ndiye anayefurahia ndoa kwasasa.
 
pole mkuu, hatuna tofauti mimi mpaka nikagombanishwa na wakwe hadi ngumu na wa mama watu wazima, wana wake sio kaka ndo hivyo kua wapole tuh.
 
😩😩😩😩😩@demi
 
Kosea kujenga utabomoa, sio kuoa kuna watu humu wana ndoa ngumu tena ukute ni ile ya kikatoki utakoma,, kwenye ndoa yangu ntaomba kusaini kwa penseli sitaki ujinga mimi.
 
Kwa life style yako ndoa itakuwia ngumu sana,, nani alikuambia kuna mwaume anataka usawa? Mwanamke abaki kuwa chini ya imaya ya mwaume tuu, ndo maana hata vitabu vya mungu vinasema mwaume ni kichwa cha familia. Ndo maana wanawake wengi Wenye kipato mnazalishwa na kuachwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…