Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

I kati ya 100 ndiye anayefurahia ndoa kwasasa.
makubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
 
pole mkuu, hatuna tofauti mimi mpaka nikagombanishwa na wakwe hadi ngumu na wa mama watu wazima, wana wake sio kaka ndo hivyo kua wapole tuh.
 
Sio wote tulio na mke kama wewe. Pole kwa kupata mke wa aina hiyo. Mke wangu hana tabia hizo, ananiamini, ananiheshimu na ni msafi pia. Ana matatizo yake kama ambavyo mimi ninayo ya kwangu lakini tunavumiliana maisha yanasonga. Ndoa ni raha tu kwa upande wangu.
😩😩😩😩😩@demi
 
Kosea kujenga utabomoa, sio kuoa kuna watu humu wana ndoa ngumu tena ukute ni ile ya kikatoki utakoma,, kwenye ndoa yangu ntaomba kusaini kwa penseli sitaki ujinga mimi.
 
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Kwa life style yako ndoa itakuwia ngumu sana,, nani alikuambia kuna mwaume anataka usawa? Mwanamke abaki kuwa chini ya imaya ya mwaume tuu, ndo maana hata vitabu vya mungu vinasema mwaume ni kichwa cha familia. Ndo maana wanawake wengi Wenye kipato mnazalishwa na kuachwa.
 
Back
Top Bottom