Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma


Soma maneno mekundu kama sentensi moja, hayo ndio mawazo yako bila kuremba remba. Aliyeitengeneza hii DUNIA aliitengenezea na INSTRUCTION MANUAL yake, kama inasema hivyo unavyowaza, basi uko sawa.
 
Wacha nionekane fwala sipungui chochote.
NB: LOLOTE LAWEZA KUTOKEA!!
 
as i always say NDOA za siku hizi zimejaa unafki sana

Kama kweli unampenda mtu/una upendo wa kweli kwake huwezi kumuudhi hata sekunde na hata ikitokea umeteleza lazima utatafuta kila njia ya kuirudisha AMANI upya

Kabla hata hujafanya upuuzi wako u will be concern na je mwenzako atalipokeaje hilo jambo akija kusikia au kuona???
 
Hata Wanaumme wengine tafran na visirani sanaaaaa sema muhimu ni kuwavumilia tuu wengine wabishi hata ukiwambia leo J'4 wanabisha ila tuwachukulie manake wanawake tuna subra yakutosha na uvumilivu...
Dada, hilo wao hawalioni..

Tatizo hii jinsia wanajiona wakamilifu mnoo..

Mimi ninaamini mke akiwa mkorofi, ana makelele, basi tatizo liko kwa mwanaume.. ana react against tabia za huyo mwanaume,badala ya kuangalia tatizo liko wapi watatue wanakimbilia jf kuwaponda wanawake wote.

Kuna wanaume pasua kichwa acha kabisa. Vichaa vichaa vichaa.
 
Ukiolewa jf taabu,usipoolewa jf taabu na ukizaa bado tena jf ni taabu.
Inshort ukiwasikiiza watu humu maisha yanaweza yakasimama.

Wanaume wa jf wao ni malaika,wakosaji ni wanawake tu. Hivi wake zao hawana hata jema moja huko angalau watuletee!!!!
 
Ukiolewa jf taabu,usipoolewa jf taabu na ukizaa bado tena jf ni taabu.
Inshort ukiwasikiiza watu humu maisha yanaweza yakasimama.

Wanaume wa jf wao ni malaika,wakosaji ni wanawake tu. Hivi wake zao hawana hata jema moja huko angalau watuletee!!!!
Wake zao ndio sisi wanaotuponda kila uchao...

Wamesahau kuwa sisi ndio mama zao pia, ina maana hatuna hata jema moja kwao?

Wanashangaza...
 
Wake zao ndio sisi wanaotuponda kila uchao...

Wamesahau kuwa sisi ndio mama zao pia, ina maana hatuna hata jema moja kwao?

Wanashangaza...
Basi acha tu tuwavuruge vizuri ili wapate cha kuongea vizuri, maana wana gubu mawifi wanasubiri.
 
Kama unaogopa talaka epuka kuoa haraka...ukifika 40 Kwa mtindo huo bp lazima
 
Hua nashangaa sanaa,sidhani kama wanajua umuhimu wa mwanamke au thamani yake,inahitaji mwanamme alokua na hekma sana kuelewa jinsi gani atatue tatizo la nyumbani kwake,mwanamke anahitaji kubembelezwa, kudekezwa,kwa maneno matamu lakini wanaume wengine Kama vile wakojeshini na mkewe time yote sura kaikunja kama anakunywa shubiri,akiingia ndani amani hakuna mpaka Paka anakimbia...
 
Najiandaa kuoa huko kyela mkuu...nipe hints before its too late
Kama unampenda mchumba wako muoe, ubaya ni suala la mtu mmoja mmoja wala halina uhusiano na kabila, ni wengi wameoa huko kunakopigwa vita na wana maelewano mazuri tu na maendeleo makubwa.

Usipende kuchukua mifano kutoka kwa watu waliofeli, always wataponda, jifunze kwa waliofaulu, always watakutia moyo.
 
Ndoa nijambo jema na lakupendeza kwa Mungu mkiishi kadir ya mapenz ya Mungu sasa kwakuwa mkiishi vyemaa shetan anaona wivu anataka kudivert mambo sa pasipo kuomba na kuvumilia lazma ukimbie. Mungu na kuomba ndo kila kituu
 
(mtoto wa mjini) huko kyela ni majanga kimombo wanawaita "power monger" na hili linaanzia kwao kwa wazazi wake, kila kitu chako wazazi watajua. chunguza kuanzia wakati wa mahari, send off na harusi. ningekushauri kama kuna ulazima wa kuoa mkoa wa mbeya japo uje TUKUYU au maeneo ya SONGWE ukielekea TUNDUMA ndo kuna afadhali kidogo. Vinginevyo Mbeya unaenda kununua Ugonjwa wa Moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…