Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No kaka, najifunza mengi sana kutoka kwako. Ni mmoja kati ya watu wanao ni inspire humu jfNah...sijui kila kitu.
Kwanza sijui mengi.
Hakuna Mwanaume yoyote amae ameoa hajawahi au hatoumizwa na mwanamke aliemuoa, hayupo, kama yupo basi ni mume bwege au hajitambui au amejitia ukiziwi au upofu kupisha mambo yapite.
Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
Ha ha ha ... Ahssante umenipa jioni Muruwah !!
Umenigusa haswaa.ndoa kweli inataka uvumilivu sana na ni kazi kuliko kuwa na kazi katika serekali ya awamu ya tanoNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Isee yani ni zaidi ya uvumilivu,mi mke wangu wa ndoa isee akinipa malavidav usiku asubuhi ananidai hela,ukimuuliza anakwambia jana si nimekupa!isee
Pole sana mkuu kwa mapito unayopitia mkeo anapaswa kujua wajibu wake km mke ni aibu sana kwa chumba cha kulala mke na mme aingie dada kufanya usafi kufua mashuka yenu mataulo yenu nk...Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.