Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Huyo SI Mpare OG. I bet
 
Unachosema ni kweli mkuu.

Na Mimi nimeoa mwaka wa pili tu huu yaani ndoa bado changa kabisa hii ila mke ashafanya makubwa utadhani tuko ndoani mwaka wa kumi.

Mbishi
Mjuaji
Muongeaji Sana kubwa kuliko yote anajiamini mnooo kiasi nishamlamba makofi Hadi nikachoka, imefika wakati nikawa na mawazo hasi kuwa huenda huyu ni mchawi maana sio kwa kujiamini namna hii hata Kama kakosea yeye.

Sasa Basi nilichoamua kufanya ni hivi:

Nampeleka kule anapotaka, yaani akinivimbishia na Mimi nampa mkongoto mpaka anakimbia kwa kwao Kisha anarudi.

Nakusanya ushahidi kimya kimya ili nione huenda Kuna mjinga anamjaza ujinga nikiupata usio na Shaka nitamtimua Kama simjui.
 
Muombe Mungu mpate amani ktk ndoa usitumie nguvu hakuna mkamilifu duniani.
 
Mkuu unaona hivyo tu pingine ukipewa uishi naye siku mbili tu auwezi usijaji kitabu kwa kava la nje kuwa linavutia
 
Mkuu unaona hivyo tu pingine ukipewa uishi naye siku mbili tu auwezi usijaji kitabu kwa kava la nje kuwa linavutia
acha ubishi usiokuwa na tija,kila mtu ana udhaifu wake and I can't argue with that ndio maana nikasema vingine vya ndani sivijui but atleast niliyoyaona yanamfanya kuwa na sifa za mke bora.
 
Muombe Mungu mpate amani ktk ndoa usitumie nguvu hakuna mkamilifu duniani.
usimtie moyo wakati tayari tatizo linajulikana ni mwanamke mkuu. inshort huyo siyo type yake ndio maana hawaendani sasa yanini kung'ang'ania maumivu
 
usimtie moyo wakati tayari tatizo linajulikana ni mwanamke mkuu. inshort huyo siyo type yake ndio maana hawaendani sasa yanini kung'ang'ania maumivu
Hahaha

Kwakweli kama hawako compatible ndo vitu kama hivyo hutokea.

Ataona mwenyewe cha kufanya.
 
Wazee wa mikong'oto tunacheka tu
 
Muombe Mungu mpate amani ktk ndoa usitumie nguvu hakuna mkamilifu duniani.
kwamba makosa anayoyafanya yeye hata mmewe anaweza kuyafanya?sijui kwanini watu wengi wanaofanya makosa wanajifichia kwenye ukamilifu

yan mtu akifanya kosa tu utaskia "hamna mwanadamu mkamilifu" yan hapo mtu anafosi mfanane wakati makosa kafanya yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…