Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
Wamachame wakorofi by nature. Kuna jamaa kwao Kilosa (mluguru) alioa Mmachame aisee jamaa kachemsha ndoa haikudumu hata miezi 3.
 
Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kujua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.

2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 10 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!

3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.

4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa /mahusiano yenu.

5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuongea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kuongea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.

Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!

Tuishi nao kwa akili.
 
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======

Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo

======

UPDATE: 22 Novemba 2016

Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.

Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.

**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.

27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA

29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.

Acha kutisha Watu utafikiri wakioa wataoa mke wako .Kama umezoa kimeo wewe pambambana nalo hilo Ni lako kimuemue Cha Moyo wako Acha. Kuwatisha Watu hapa.
 
Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kukua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.

2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 20 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!

3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.

4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa m/mahusiani yenu.

5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuingea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kukngea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.

Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!

Tuishi nao kwa akili.
Points tupu
 
Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kujua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.

2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 10 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!

3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.

4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa /mahusiano yenu.

5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuongea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kuongea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.

Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!

Tuishi nao kwa akili.
ukikaa kimya sanaa atakuambia we jeuri sana.naongea hata haujibu? acha dharau..zamani hukuwa hivyo...hakunga fomula hawa watu...ni kubalance tu uonavyo wewe na mtu wako...!!
 
ukikaa kimya sanaa atakuambia we jeuri sana.naongea hata haujibu? acha dharau..zamani hukuwa hivyo...hakunga fomula hawa watu...ni kubalance tu uonavyo wewe na mtu wako...!!
Sure. usisahau spare tyre
 
Acha kutisha Watu utafikiri wakioa wataoa mke wako .Kama umezoa kimeo wewe pambambana nalo hilo Ni lako kimuemue Cha Moyo wako Acha. Kuwatisha Watu hapa.
Yani hili jamaa bana ..lijanamke lake limemshindwa anadhani wote ndo wako hivyo. Wewe mtoa mada pambana na khali yako ya ndoa mwonbe Mungu arekebishe ulipokosea ...

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom