Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kujua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.
2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 10 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!
3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.
4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa /mahusiano yenu.
5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuongea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kuongea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.
Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!
Tuishi nao kwa akili.