establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #1,481
Ndoa Ni baraa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida zotee za nini?Halafu wengi hawana akili hata ya kuishi na mke, lakini walalamishi mke hajitambui muulize wewe unafanya nini mke akifanya sivyo, wengi hususa na kununa kama Bibi zao wazaa Baba zao, na utakuta kijitu kimejaa midevu uso mzima lakini kimemnunia mkewe, sasa hapo mke ataacha kumuona ng'ombe tu, ndoa nyingi wanawake ndiyo wanabembeleza mme kanuna [emoji18][emoji18][emoji18] kama punguani, mie huona nikukosa malezi ya Baba na mama
Akuoe wewe??.Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Kwa maneno haya mama yako, Dada yako wote hawana akili? Hapana umekosea mno, kila kiumbe aliyechini ya jua ana akili za kumtosha mwenyewe, mnapotaka kuzigawana ziwatoshe wote hapo ndo mnazingua. Wanawake wanaakili nyingi sana shida ni kuwa wanaume wengi hawataki kusikiliza wake zao na kuhisi wanapelekeshwa.Watanuna ila Ukweli ni Huu;
Hakuna Mwanamke mwenye Akili, yes hakuna! Mungu Alipotuagiza Wanaume Tuishi nao kwa Akili, alikuwa ana maana kubwa mno ukiiangalia na kufikiri kwa Uyakinifu. Shida kubwa inakuja hapa, unakuta mwanaume mwenyewe akili ndogo halafu anataka kuishi kidiplomasia na mkewe. Ndugu, hutokaa ufanikiwe kwenye hiyo ndoa yako.
Siku zote mwanamke anaishi kwa Hisia na si kwa Akili ila Mwanaume anavyo vyote Viwili, Akili na Hisia.
Men buys Functionally
Women buys Emotionally.
Kaa hapo uzidi kulishwa na motivesheni spikaz. Waulize wao wenyewe utaelewa nini naongea.Kwa maneno haya mama yako, Dada yako wote hawana akili? Hapana umekosea mno, kila kiumbe aliyechini ya jua ana akili za kumtosha mwenyewe, mnapotaka kuzigawana ziwatoshe wote hapo ndo mnazingua. Wanawake wanaakili nyingi sana shida ni kuwa wanaume wengi hawataki kusikiliza wake zao na kuhisi wanapelekeshwa.
Tulia panga mipango na mkeo na usiivuruge maisha yatakuwa Safi. Ukivuruga unamchanganya na Matokeo yake utasema Hana akili, huku ukimtia na kuhakikisha anakupa watoto wenye akili.
Ulichosema siyo sahihi. Asilimia 90 ya akili za mtt wako zinatoka kwa mkeo , wewe akili zako zimetoka kwa mama yako, baba mchango wake ni hyo mbegu tu, ikishaingia hana issue Tena!
Pale unapofikiria kila mtu ni motivesheno spika ama anasikiliza motivesheno spika. Raha ya humu jamvini tuna rika, akili na upeo tofauti.Kaa
Kaa hapo uzidi kulishwa na motivesheni spikaz. Waulize wao wenyewe utaelewa nini naongea.
Final uzeeniShida zotee za nini?
Kwahiyo wenye ndoa zenu mlioana ili mkatafute nani wakumbembeleza mwenzi kwanza?
Ngoja tuendelee kuwapelekea moto.
Unakuja kwangu leo kesho unasepa, hapo hakuna baya LOLOTEE sijui la kununiana or what
#YNWA
huu ukimya na kujifanya una ignore mambo wakati yanakukera ndio chanzo cha vifo vya wanaume wengi.Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kujua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.
2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 10 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!
3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.
4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa /mahusiano yenu.
5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuongea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kuongea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.
Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!
Tuishi nao kwa akili.
[emoji23][emoji1787][emoji23]Sie huku pwani hatupati shida kama hizo,Talaka ipo chini mto....Alete hizo habari za kwao aone!
MmhHalafu sasa inavyokuwa Mme kapata aliyepangiwa na Mungu kisha yeye anakuwa kichomi kwake badala yakumpokea vizuri
Kwahiyo wewe pesa ni muhimu kuliko mapenzi katika ndoa ?Ndoa ni msumari wa moto,kwanza ukioa hauna uamuz juu ya pesa zako
kwani mama sio mwanamke?Kwa maneno haya mama yako, Dada yako wote hawana akili? Hapana umekosea mno, kila kiumbe aliyechini ya jua ana akili za kumtosha mwenyewe, mnapotaka kuzigawana ziwatoshe wote hapo ndo mnazingua. Wanawake wanaakili nyingi sana shida ni kuwa wanaume wengi hawataki kusikiliza wake zao na kuhisi wanapelekeshwa.
Tulia panga mipango na mkeo na usiivuruge maisha yatakuwa Safi. Ukivuruga unamchanganya na Matokeo yake utasema Hana akili, huku ukimtia na kuhakikisha anakupa watoto wenye akili.
Ulichosema siyo sahihi. Asilimia 90 ya akili za mtt wako zinatoka kwa mkeo , wewe akili zako zimetoka kwa mama yako, baba mchango wake ni hyo mbegu tu, ikishaingia hana issue Tena!
Wengine hutoa mama zao na dada yao na kunyooshea mama wengine, wakati wale wa kwao ndiyo wabovu kupita hata mavi ya bata!kwani mama sio mwanamke?
Tatizo la wengi ni kudhani mtazamo negatively wa mtu dhidi ya jinsia iliyo kinyume naye hulenga wale wasio muhusu tu. Quran imesema wanawake ni wapungufu wa akili na dini meanwhile hata mama yako na mama yangu wanaingia hapo
Mwanamke haeleweki, na ukitaka kumuelewa utajikuta unapotea wewe. Cha msingi hapo ni kuweka kanuni zako ambazo anatakiwa aishi nazo
Huna akili. Punguani.Wengine hutoa mama zao na dada yao na kunyooshea mama wengine, wakati wale wa kwao ndiyo wabovu kupita hata mavi ya bata!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app