Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mara nyingi mme ndiye huanza, sasa usitegemee mke naye atayavumilia tu labda nzwanzwa lakini mwenye utimamu lazima aumie tu, unajua mwanamke akisema nimechoka yaani anakuwa kachoka kweliTunaachana, thats a bye bye ticket mbona! Yani mie nichoke kinachonipa amani na furaha? Uliona wapi mtu kachoka amani na furaha?
Kwa mwanamke mwenye hekima atajutia upumbavu aliofanya na atabadilika akiona umemuhama tena atahaha kweli kweli! Ila mshenzi ataona ndio ticket na ya yeye kwenda kuchepuka nje ya mji wake!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app