establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #1,501
Maisha mazuri ya ndoa Ni kuwa Zoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama alikuwa namaana yy nimkamilifu ila wanawake wamezidi halafu nimambo madogomadogo tu shida nihata majibu ukiuliza
Namshukuru MUNGU mdomo wangu si choo cha umaHuna akili. Punguani.
NB: haya ni maoni yangu binafsi
Ni mwanamke mpuuzi tu ndio ataona ufahari kumchamba mumewe! Unaanzaje kufanya mambo ya hovyo namna hio!?Wanaume wa hivyo niwachache sana , wengi na wao nikama wamama wauswazi kujibizana ananuna na kususa chakula [emoji3][emoji3] mwanaume analala bila kula haaa haaa wanawake huwa wanacheka kimoyo moyo kweli nakuwazarau kweli hawasemi tu, halafu ukute na huko 6*6 ni shida tupu, unazani mwanamke atafanya nini zaidi ya kelele!
Dawa yake unaanza kumuandala talaka mapema ili siku akileta fyokofyoko unamchomolea tu 😂😂😂😂😅Nachukia pale mwanamke anapoleta ushindani ndani ya nyumba.
Ukiona mkeo unapomuuliza kitu hususani kama kakosea anakujibu kwa kuanza na sentence hii"Mbona na wewe....
Hapo ndoa haina muda mrefu itavunjika tena kwa uhasama kwa sababu alishaanza vita ya chini chini.
Soma vizuri basi, hivi mme anayewajibika huwa anadharauliwa ? Basi mke huyo anakuwa na matatizo yake, sikia nijuavyo mie Mme haongei mara mbili 2 akiongea ya kwanza ya pili kamaliza ni maagizo tayariNi mwanamke mpuuzi tu ndio ataona ufahari kumchamba mumewe! Unaanzaje kufanya mambo ya hovyo namna hio!?
Sasa kwa style hio ya kubishana kuna maagizo au kichapo tu kitafata! Saingine nyumba zinakuwa ngumu kukiwa na watu wa aina hii!Soma vizuri basi, hivi mme anayewajibika huwa anadharauliwa ? Basi mke huyo anakuwa na matatizo yake, sikia nijuavyo mie Mme haongei mara mbili 2 akiongea ya kwanza ya pili kamaliza ni maagizo tayari
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndoa ya ngumi mkononi daa hapana kwakweliSasa kwa style hio ya kubishana kuna maagizo au kichapo tu kitafata! Saingine nyumba zinakuwa ngumu kukiwa na watu wa aina hii!
Mwanamume wako unaanza tena kubishana nae kama shoga yako! Huo ujinga anauweza McGarab tu na tamthilia yao ile ambayo Coletha anamuendesha kama gari bovu! Wanamuita Mrs.Michael kitu kama hicho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndoa ya ngumi mkononi daa hapana kwakweli
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wengi kinachowambua pale mwanzo wanapo oana ndipo hukosea mazoea yasiokuwa na maana [emoji3][emoji3], Mary (Coletha) na Michael michepuko ya Michael ndiyo sababu ya kuyumbisha ndoa yake, mbona humsemi Tomas ? Naye ni mkewe ndiyo sababu!Mwanamume wako unaanza tena kubishana nae kama shoga yako! Huo ujinga anauweza McGarab tu na tamthilia yao ile ambayo Coletha anamuendesha kama gari bovu! Wanamuita Mrs.Michael kitu kama hicho
Michepuko itakosekana vipi kama hata muda wa story hamna ni pyeeee...peppeepe....rrrrrhhhaaaaa....braaa...yuuhuuugggggaananann!$&@&!Wengi kinachowambua pale mwanzo wanapo oana ndipo hukosea mazoea yasiokuwa na maana [emoji3][emoji3], Mary (Coletha) na Michael michepuko ya Michael ndiyo sababu ya kuyumbisha ndoa yake, mbona humsemi Tomas ? Naye ni mkewe ndiyo sababu!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo shida inapoanzia sasa ukichoka na michepuko unataka kukaa vizuri, mke naye moyo wake ndiyo ulishatibuka kuurudisha ndiyo gharama!Michepuko itakosekana vipi kama hata muda wa story hamna ni pyeeee...peppeepe....rrrrrhhhaaaaa....braaa...yuuhuuugggggaananann!$&@&!
Hapo umetoka mihangaikoni ndio unafikia mazingira hayo utajisikiaje! Halafu kumbe kuna mtoto Queen yupo zake mahali ametulia zake hana baya! Anakuwa rafiki anakupa utulivu wa hali ya juu nani asiependa kula pazuri???
Tunaachana, thats a bye bye ticket mbona! Yani mie nichoke kinachonipa amani na furaha? Uliona wapi mtu kachoka amani na furaha?Hapo ndipo shida inapoanzia sasa ukichoka na michepuko unataka kukaa vizuri, mke naye moyo wake ndiyo ulishatibuka kuurudisha ndiyo gharama!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
AiseeeNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======
Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo
======
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.
Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.
27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA
29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.