Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Pia fuatilia historia ya kwao huenda hata wana mambo ya kipepo maana si kawaida mke kukosa shukrani hivyo. Mm nina ushahid na binti fulani wa kichaga mrembo kweli kweli ila huwez kuishi/kuwa nae kwenye mahusiano zaidi ya mwezi
Wamachame wakorofi by nature. Kuna jamaa kwao Kilosa (mluguru) alioa Mmachame aisee jamaa kachemsha ndoa haikudumu hata miezi 3.
 
Wanawake ni wa kuwasaidia sana;
1. Kuna wakati anaweza akawa kuna kitu anataka lkn hata yy hajui anataka nn, ss ni kazi ya mwanaume kujua hicho anachotaka ambacho hata yy hakijui.

2. Kuna wakati anakuwa na mahitaji zaidi ya 10 lkn hajui hitaji la kwanza ni lipi na pili ni lipi so mwanaume ndo kazi yako kumshauri ku-prioritize!

3. Kuna wakati anaongea sn, njia pekee ya kumnyamazisha ni wewe kukaa kimya.

4. Kuna wakati analeta ushindani anataka yy awe mshindi, rudi nyuma yy awe mshindi, atakuwa mshindi lkn wewe utakuwa mshindi wa Amani ya ndoa /mahusiano yenu.

5. Jifunze ku ignore mambo, mfano ametoka kuongea hapa akamaliza, in 5 minutes msemeshe kitu nje kbs ya mada aliyetoka kuongea dak chache zilizopita, yaani usiweke kinyongo ili maisha yaendelee ktk kila hatua.

Katika vyote kimya ni jibu zur zaid katika mahusiano. Ukiweza kutumia siraha ya Ukimya, umefanikiwa kwa hakika!!!

Tuishi nao kwa akili.
 
Acha kutisha Watu utafikiri wakioa wataoa mke wako .Kama umezoa kimeo wewe pambambana nalo hilo Ni lako kimuemue Cha Moyo wako Acha. Kuwatisha Watu hapa.
 
Points tupu
 
ukikaa kimya sanaa atakuambia we jeuri sana.naongea hata haujibu? acha dharau..zamani hukuwa hivyo...hakunga fomula hawa watu...ni kubalance tu uonavyo wewe na mtu wako...!!
 
ukikaa kimya sanaa atakuambia we jeuri sana.naongea hata haujibu? acha dharau..zamani hukuwa hivyo...hakunga fomula hawa watu...ni kubalance tu uonavyo wewe na mtu wako...!!
Sure. usisahau spare tyre
 
Acha kutisha Watu utafikiri wakioa wataoa mke wako .Kama umezoa kimeo wewe pambambana nalo hilo Ni lako kimuemue Cha Moyo wako Acha. Kuwatisha Watu hapa.
Yani hili jamaa bana ..lijanamke lake limemshindwa anadhani wote ndo wako hivyo. Wewe mtoa mada pambana na khali yako ya ndoa mwonbe Mungu arekebishe ulipokosea ...

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…