Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mara nyingi mme ndiye huanza, sasa usitegemee mke naye atayavumilia tu labda nzwanzwa lakini mwenye utimamu lazima aumie tu, unajua mwanamke akisema nimechoka yaani anakuwa kachoka kweli

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
waislamu wa wapi hao kilimanjaro au?
 
Mwanamke akae kwangu kwa adabu sio mbwembwe za ajabu ajabu
Kwasababu anakaa kwako ndiyo umtendee ndivyo sivyo? Kwanini MUNGU mwenyewe alisema ni vema huyu mtu akae pekeyake nitamfanyia msaidizi, kwanini hakusema mtumwa? Msaidizi inaama ikitaka kufanya kitu au kuamua kitu lazima mkae mjadiliane, sasa Mme urudi saa 8 za usiku usiulizwe eti unataka kumitawala haa[emoji849]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ua true....tofaut na hpo watakuendesha wanavotaka.
 
Mie siwezi mfanyia visa mtu bana ndivyo nilivyoumbwa! Ila ukianzisha ujue siwezi kukukalia kimya lazma ule msoto back to back au nikufunguie vioo mazima
 
Ndo usifue chupi? Hakuna usawa wowote kati ya mwanaume na mwanamke ni siasa tu hizo
 
Huyu jamaa nadhani ndio wale wa mihemko, akitaka kujua hilo amuulize baba ake kuhusu mamaake
 
Mie siwezi mfanyia visa mtu bana ndivyo nilivyoumbwa! Ila ukianzisha ujue siwezi kukukalia kimya lazma ule msoto back to back au nikufunguie vioo mazima
Sasa ndiyo mke hakuna kwa kumpaki bali unapambana nayo [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…