Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

"Mbona na wewe ulichepuka"....maana take anasubiria ww ufanye makosa ili yeye alipizie.
 
Vpi mmeachana au bado unaye? Kuna dogo kaoa mwezi wa kwanza leo ananitext kuulizia binti fulani hiv, nikamuulizia wataka kuongeza? Akasema washaachana maana mke alikuwa mgomvi, kelele 24/7 lakin pia mwisho wa siku mwanamke keshaondoka. Hizi ndoa ni salama lkn pia hatari
 
Bado nipo zangu bar napata ulabu, yakinijia tu mawazo ya kurudi pale afghanstani moyo unashtuka paaah
Sasa huo ulabu si ndiyo unakupoteza kabisa, unatakiwa uwe kamili ili kutatua changamoto zote!
 
Ww umeoa mkuu? Ushawahi kukutana na mwanamke aliyebarikiwa mdomo? Yaani ana uchapa mdomo kma cherehani
[emoji3][emoji3] wakati mwingine sababu zinakuwa zako, embu msikilize akwambie anataka nini tatizo mnawapuuzi hivyo wanarundika mihemko
 
[emoji3][emoji3] wakati mwingine sababu zinakuwa zako, embu msikilize akwambie anataka nini tatizo mnawapuuzi hivyo wanarundika mihemko
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…