Naweka ganzi kichwani akipiga porojo nakuwa kma nasikiliza radio akimaliza, nampiga show nalala zangu, nasubiria vituko vya keshoSasa huo ulabu si ndiyo unakupoteza kabisa, unatakiwa uwe kamili ili kutatua changamoto zote!
Baadaye atajiona mjinga na kujirekebisha mwenyewe sasa mke anaongea na Mme anamjibu! Wengine zinakuwa ni stress za kulea watotoNaweka ganzi kichwani akipiga porojo nakuwa kma nasikiliza radio akimaliza, nampiga show nalala zangu, nasubiria vituko vya kesho
Hapo umenielewa mkuu, changamoto za ndoa zina mwisho wake ila namna ya kuvumilia mpaka ziishe lazima cheche zirukeBaadaye atajiona mjinga na kujirekebisha mwenyewe sasa mke anaongea na Mme anamjibu! Wengine zinakuwa ni stress za kulea watoto
Yaani kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu kwanini namjibu na tunaishia kurumbana tu, hapo sasa akili inakuwa ya mmoja wapo inakuwa imechuja malumbano hayo, ukimjua tu vitu vingine unapotezea tu ili maisha yaendelee.Hapo umenielewa mkuu, changamoto za ndoa zina mwisho wake ila namna ya kuvumilia mpaka ziishe lazima cheche ziruke
Ila wanawake. Mada inaweza ikaanza saa tisa usiku. Mmemaliza shoo kaenda toi amerudi umepitiwa na usingizi unasikia mtu anakusemesha.Yaani kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu kwanini namjibu na tunaishia kurumbana tu, hapo sasa akili inakuwa ya mmoja wapo inakuwa imechuja malumbano hayo, ukimjua tu vitu vingine unapotezea tu ili maisha yaendelee.
Haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akisafiri wiki tu unamkumbuka kweli [emoji3][emoji3][emoji3]Ila wanawake. Mada inaweza ikaanza saa tisa usiku. Mmemaliza shoo kaenda toi amerudi umepitiwa na usingizi unasikia mtu anakusemesha.
"Nilishakwambia viatu vyako na Soksi uvulie kule. We nakusemesha unajifanya umelala?"
HahahahahahahahaVitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
Ndoa ya watoto hii na maisha ya Tamthilia. Kuweni watu wazima sasa na muache kufake life.Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
hahahahaha toka uko AfghanistanVitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
Aisee
Kuna michepuko inasaidia kudumisha ndoaNilichojifunza mwanaume hakikisha katika maisha yako yote fanya juu chini uwe na mchepuko wa maana.
Narudia Tena make sure unakuwa na mwanamke wa pembeni mzuri haswaaa. Wake zetu wengi Wana gubu. Ili usife mapema kwa stress na kutofurahia maisha kuwa na mtu wa pembeni wa kula nae maisha. Utaona dunia inanyoooka taratibu shwari kabisa.
Ila Sasa jifanye una Huyo Huyo mke mmoja siki akikuvuruga utakuwa na kichaa.
Mtakuja kunishukuru baadae kwa huu ushauri. Huu ni mwaka wa 10+ Nina michepuko na mambo yanaenda sawia home.
Ndio mkuu.Kuna michepuko inasaidia kudumisha ndoa
Bado nipo zangu bar napata ulabu, yakinijia tu mawazo ya kurudi pale afghanstani moyo unashtuka paaah
Kutoboa maishani usimshirikishe Mke