Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kosea gari maana unaweza ukaiuza ukanunua gari nyingine,kosea nyumba maana unaweza ukaibomoa na kujenga nyingine ya style mpya ,,, ila usidhubutu kukosea ndoa( mwenza wako) maana ukikosea kuoa Basi umekosea na maisha, you'll live to regret forever.

Aisee Kama Kuna maamuzi ambayo mtu anatakiwa kuyafanya akiwa na utulivu Wa akili( sober mind) Basi bila Shaka Ni maamuzi ya ndoa,Yaani kumchagua mtu sahihi utakayeishi naye Kama mke/ mume.Ikiwezekana muhusishe Mungu akuonyesha mwenza wako.
 
Hawa wadudu wanatutesa Sana.
Akiona umekaa mkao wa kuomba puchi utasikia anaumwa na kichwa au tumbo au amechoka au ana usingizi. Wakati mtu huyo huyo kutwa anacheki simu yako aone Kama una mchepuko. Hawataki uzoeane na wanawake wengine Ila ndugu wa karibu tu. Hivi wanawake Wana nini? . We acha tu.
 
Waislamu hawakukosea walipo ruhusu talaka. Walichokosea Ni kuoa wengi.
Wangeweka akikukosea adabu unaacha unachukua mwingine sio kukaa na wote wanne kwa mpigo.
Asikudanganye MTU, kuwapelekea Moto wanawake wanne wenye afya ya mwili na akili wakaridhika sii Jambo rahisi.
 
Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Mkuu nyani na huo uchafu wa chumbn nao pia asiseme? Ongeeni wanaume wanawake tushtuke kuna muda tunajisahau sana
 
Na kuishi na mwanaume nako kunataka nini kama siyo ubaguzi wako wa kijinsia unaoonyesha hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…