Bro.. nazani hapa umemaliza.. bila ubabe utashikwa hadi vuz*Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
Asante sanaaaTufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...
1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.
2. Mume ampende mkewe.
3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Huko mlima mrefu Afrika mbona laumu kwao zimekuwa ni nyingi?Vijana msifikiri ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Mkuu ndoa bado ipo?Takataka
nasikia hawajui kumlea mme wanaishi kibabe kibabe tuHuko mlima mrefu Afrika mbona laumu kwao zimekuwa ni nyingi?
Ni miaka 10 sasa imepita kiongozi tokea ushushe tanzia yako, bila shaka vijana wetu ni teenagers kabisa wamekua sasa hongera kukuza.. swali ndoa ipo??Gen Z mmeonywa chukueni tahadhari
Tangu lini mwanaume akalelewa ?nasikia hawajui kumlea mme wanaishi kibabe kibabe tu
tangu alipoubwaTangu lini mwanaume akalelewa ?
Kumbe upo 😂🤩 anasemaje huyo ma-shoo hapoTakataka
Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
Utupe mrejesho sasa mkuu😀Gen Z mmeonywa chukueni tahadhari