Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Cris Mauki hebu anzisha MARRIAGE & SEXUAL LIFE BOOT CAMP ule hela za hawa vijana.
KIINGILIO: 50,000/=
BURUDANI: Lulu, Wema, Ray, JB, Bahati Bukuku, Manfongo & Shilole
SEHEMU: Mlimani City Hall.
WAGENI RASMI: Dr. Mama Askofu Pangalile & Shehe Kipoooozea.
 
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
...this coming from a woman, 'kumtafutia mwanamke mwingine'???
 
Naona makipa wawili wanatupiana mipira, kila mtu anaona kuwa mvumilivu zaidi ya mwenzake.

Jaribu kuishi na ndugu yako wa damu au hata pacha wako, wewe Kurwa nae Dotto, nakupa assignment ya kuishi nae miaka mitano, then naomba ulete mrejesho.

Ukipata jibu, juilize kwamba baada ya kukutana na mtu mzima mwenzako, ni rahisi kweli kuishi bila kukwaruzana, kupishana kauli, kuwa na tabia tofauti na hata mitazamo tofauti ya maisha.

VUMILIANENI!!
 
Hapo kosa ni lako ulikosea kuchagua mke sio wanawake wote wapo hivyo.
 
Apana Mkuu usiwahukumu wote wapo wanaojua kupenda na kupendwa,kwani kufua chupi ya mkeo kuna shida gani kama moyo wako umeridhia? mbona mwanamke anafua chupi ya mumewe/mpenzi wake au kuna sehemu ina sema its compulsory kwa mwanamke kufanya hivyo? ....
 
Teh mi mwanamke asiyeweza kuwa chini yangu atafute pa kwenda tu . hata kama angekuwa rais wa nchi.
 
Dhiuuu. Aiseee huyo n uvivu au makusud
 
Hizi ndoa za mwendokasi.
 
viongozi wa dini (kwa wenye dini) na viongozi wa jadi/wachawi/walozi (wasio na dini) suala la jinsi ya kuishi na mke liwekwe kwenye mitaala ya mafundisho ya ndoa
 
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Hahaha Shemeji nn tatzo ?? Kwani unataka niambia ulivyomposa dada yangu na mbege yote ile....unaona umeingia cha kike ?? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…